Kipeleke Polisi unaweza kukuta kiliibiwa na mali zingine ukaingia kwenye kesi usiyoijuaWakuu poleni Na majukumu
Kama ambavyo kichwa cha thread kimeeleza nimeokota kitambulisho cha utaifa cha NOEL ADAM MZENGI kama yupo humu au kuna yeyote anamfahamu mtajwa apo juu unaweza kuja pm
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ngoja nifanye hivoKipeleke Polisi unaweza kukuta kiliibiwa na mali zingine ukaingia kwenye kesi usiyoijua
Mkuu asante kwa busara zako. Ni watanzania wachache wenye akili kama zako .i.e. kutoanika copy ya kitambulisho hapa. Umetumia bisara sana kuandika jina lake tu na nina imani atakipata!Wakuu poleni Na majukumu
Kama ambavyo kichwa cha thread kimeeleza nimeokota kitambulisho cha utaifa cha NOEL ADAM MZENGI kama yupo humu au kuna yeyote anamfahamu mtajwa apo juu unaweza kuja pm
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaisaidia porisi ukipelekaKipeleke Polisi unaweza kukuta kiliibiwa na mali zingine ukaingia kwenye kesi usiyoijua
Polisi ni waelewa, wanajua huyo ni raia mwema