Kitambulisho cha utaifa kimeokotwa

Wakuu poleni Na majukumu

Kama ambavyo kichwa cha thread kimeeleza nimeokota kitambulisho cha utaifa cha NOEL ADAM MZENGI kama yupo humu au kuna yeyote anamfahamu mtajwa apo juu unaweza kuja pm

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipeleke Polisi unaweza kukuta kiliibiwa na mali zingine ukaingia kwenye kesi usiyoijua
 
Wakuu poleni Na majukumu

Kama ambavyo kichwa cha thread kimeeleza nimeokota kitambulisho cha utaifa cha NOEL ADAM MZENGI kama yupo humu au kuna yeyote anamfahamu mtajwa apo juu unaweza kuja pm

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante kwa busara zako. Ni watanzania wachache wenye akili kama zako .i.e. kutoanika copy ya kitambulisho hapa. Umetumia bisara sana kuandika jina lake tu na nina imani atakipata!
 
Umekiokota wilaya gani na mkoa gani. Majina huwa yanafanana. Weka simu yako upigiwe
 
umenkumbusha mbalii miaka ileee sio sasa...waweza fanya ukarimu wa kumsaidia alopoteza vitu....ukajaishia shikikiliwa SELO uchunguzi ukamilike endapo alopoteza alivamiwa/aliibiwa vitu.
 
Back
Top Bottom