Kitambue chombo VOYAGER 1


kuna wakati jua linakuwa halionekani kabisa upande wa southern hemisphere kwa muda wa miezi mitatu jua linakuwa linazungukia upande wa northern hemisphere
kwa mfano summer ya upande wa kaskazini inaletwa na jua kuwa liko upande wa kaskazini zaidi yaani wakati huu upande wa kusini kunakuwa hakuna jua kabisa na baridi inakuwa kali sana baadi ya maeneo yanakuwa kiza kitupu.
kipindi hiki kinakuwa june mpaka august hata hapa kwetu kipindi hichi ndio kipindi cha kipupwe panakua na ubaridi wa jioni na alfajiri ule kwa maana jua tunalipata lakini sio kama la nov to febuari

ukitaka kuelewa zaidi hii jaribu kusoma jua linaizunguka vipi dunia na season zinapatikana vipi
 
Wazungu kwa fix hutowaweza, swala la kufika mwezini ni uongo unaosadikika. Eti walivofika wakaweka bendela ikawa inapepea halafu pia walivokuwa kuwa wanafiki kwamba yule bwana Armstrong yeye mwenyewe alitanabaisha kusikia sauti ya Adhana. Watu wenye akili nyepesi waliamini
 
ZENJIBARIA
time ni nini..?
kwa jinsi hiyo fact ya jua ulivyoieleza hapo bado haiingii akilini! ndio swala la kuona hivyo sawa lkn mbona nyota zipo mbali kushinda jua na tunaziona..?
huwezi kumuelewa kama utagoma kupokea elimu ya dunia sio duara chungwa ili ulinganishe na mapokeo ya elimu yako ya mwanzo.
 
kwani flat earth sio duara.....??? chungwa na sahani kipi ni duara na kipi ni flat? .... jibu lako litakusaidia kujielewa
 
Ninawaletea au Vinatuleteea?[emoji57] [emoji57]
 
huwezi kumuelewa kama utagoma kupokea elimu ya dunia sio duara chungwa ili ulinganishe na mapokeo ya elimu yako ya mwanzo.
ha ha! mkuu wewe umemuelewa..?
kama upo kwenye dunia flat kwanini mawingu yaonekane yanaumbo la kiduara..?
alisema kwamba kila kitu kuhusu space is wrong! ha ha ha hata nyota huenda tunaona maruerue tu kama ndo hivyo!
 
Hivi umeshawahi kumuangalia nzi kwenye basi linalo clock 120kph?anapata tabu kutua au kuruka please zenjibari.
tofautisha motion ya nzi kwenye gari na ya watu kwenye dunia. au kama vp mtie huyo nzi kwenye scania kichanja likiwa ndani ya speed hyo... hata kama palikuwa na nzi unaweza usijue. so mfano wako ni mdogo sana ktk hoja kubwa. au na sisi tupo ndani ya duara chungwa mfano wa hyo dunia ya mzungu?
 
Ha ha ha ha, uongo kazin...,
jamaa usije acha kuwapeleka watoto shule kwa theories za kipuuz hiz...
 
nzi kwenye gari
Nzi kwenye basi nilikuwa namjibu zenjibaria kuhusu ndege kuruka na kutua juu ya tufe
 
We ostazi kafundishe madrasa tu
 
Baada ya uranium kwisha naamini hakitoweza kubaki tena huko kwa maana kitarudi chini...jee hakitoweza kuleta athari kwa binadamu? Au mwisho wake utakuwaje?
Hiki hakitaweza kurudi na kudondoka chini maana hakipo katika anga letu wala kwenye gravitational force ya sayari yetu dunia bali kitaendelea kusonga mbele na mbele zaidi hadi kitakaposhindwa kujizalishia nguvu yake yenyewe. Sasa hapo kitategemea kipo katika anga la sayari gani au kwenye orbit gani, kitaweza kubaki angani kikielea au kuungua chote na kuisha itategemea kitakutana na gesi ya aina gani katika hilo anga au kudondoka chini katika sayari yoyote yenye gravitational force kubwa.
 
Nilijua wasema hivi ukiwa na hoja ya kupinga. Haya tuassume kuwa hizi ni propaganda, haya tupe ya kwako unayoyajua[emoji101]
 
Na mwezi haupo[emoji15] ? So ule tunaouona usiku ni nini?
 
Je vipi kuhusu dini yako... umeifanyia utafiti??... manake imani za dini ndio zinaongoza kwa kufunga watu akili... bila shaka wewe ni flat earth society.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ