Kitambue chombo VOYAGER 1

Dunia ni kubwa ukilinganisha na udogo mwanadamu,ndio maana tunaiona dunia iko tambarare,lakini siyo perfect sphere, ni kama yai oval fuatilia watu wanao zunguka dunia iwe kwa boats au hot air balloons.
 
Wazee wa conspirasies, ingia You tube utaona footages za space shuttle cameras,ukweli ni kwamba VOYAGER imetufunza sisi kama wanadamu mambo mengi ndani ya solar system yetu,lakini beyond hicho chombo hakitaweza kuendelea kutokana sun energy ni ndogo kitakuwa kinajiendea tu au kita crash kwenye chochote iwe asteroid au kimezwe rogue black hole.
 
Ferdinand magelan msome huyu jamaa japo kidogo.
 
Dunia ni kubwa ukilinganisha na udogo mwanadamu,ndio maana tunaiona dunia iko tambarare,lakini siyo perfect sphere, ni kama yai oval fuatilia watu wanao zunguka dunia iwe kwa boats au hot air balloons.
mkuu umeshawahi kuziona picha za dunia wanazodai kuwa ni za kweli,zote wameweka ni perfect sphere hakuna hata moja kama shepu ya yai sasa ukweli ni upi kwenye picha au maneno yao, kawaida yao likija tatizo ambalo linahitaji jibu wanabadilisha maneno yao mwanzo dunia ilikuwa sphere saivi ndio hio kama yai,chunguza kila kitu sio kweli
 
Mwezi ukiuangalia (kama bado unayaamini macho yako) unauonaje, tuseme "full moon"halafu tafakari hiyo flat earth yako usije kuniambia mwezi ni disc shape๐Ÿ˜€yaani uko flat kama disc.teh
 
Kuna comment yako ya nyumaa nliona umeandika hakuna mwezi ni myth ....tena sasa hv unasema kuna mwezi na jua....
 
Mkuu kwa hiyo hata zile Google map zinazotuonyesha tulipo ni uongo!maana zote zinahusianishwa na hizi satellite ambazo ni photoshop,sasa zile picha ni uongo?au ukweli na kama ni ukweli zinatufikia kwa teknolojia gani!
 
Nenda hospital kaanze matibabu ya ugonjwa wa akili.
 
pilau lina harufu yake ikitokea mtu akatengeneza pafyumu yenye harufu kama ya pilau bila wewe kujua na akaipuliza pasipo kumuona kwa hisia zako utajua kuna mtu anapika pilau! lkn kumbe sivyo ki uhalisia ni pafyumu yenye harufu kama pilau... endelea kuhisi tu
 

tatizo letu sisi tunaamini kila kitu,wakisema wazungu sie tunajua ni ukweli tu huo hata mambo yasoingia akilini tunaamini,jiulize voyager inawezaje kutuma picha za jupiter 485 milion miles away mwaka 1979 wakati hapa kwetu hata simu za waya walikuwa nazo serikali tu na dunia nzima kulikuwa hakuna simu za mkono,lakini voyager inatuma picha kutoka mamilioni ya miles. kama hii ni kweli basi dunia nzima ingekuwa antenna moja tu ya simu natv na watu wote wangepata mawasiliano hapo
 
1979 wakati hapa kwetu hata simu za waya walikuwa nazo serikali tu na dunia nzima kulikuwa hakuna simu za mkono,lakini voyager inatuma picha kutoka mamilioni ya miles
NASA na Pentagon huwa wako mbele kwa teknolojia, Yuri gagarin alikuwa msovieti aliye orbit dunia na picha zilikuja na radio calls hata leo ukisikiliza ni radio calls na ndio ilikuwa zamani kuliko voyager.
 
Anayo haki ya kuchangia mawazo yake mbona galileo alisimangwa, mwishoni ndio akaeleweka.mtazamo wa zenjibaria hata kanisa lina amini hivyo.
Tatizo haweki hoja zinazoonyesha authenticity ya hoja yake ya pingamizi! alete facts kama anavyoulizwa na wadau hapo
 
NASA na Pentagon huwa wako mbele kwa teknolojia, Yuri gagarin alikuwa msovieti aliye orbit dunia na picha zilikuja na radio calls hata leo ukisikiliza ni radio calls na ndio ilikuwa zamani kuliko voyager.

hapa kuna vipi tunajaribu kuviziba kwenye akili zetu,na mara nyingi hatutii akilini kwasababu haziwezi kuingia kwenye akili zetu,
hebu jaribu kuitia akilini distance
dunia nzima yote ina circumfrence ya 25000 miles (sio milioni)
halafu ufikirie mile milioni moja
kisha mile milioni tano,kisha mile milioni 100 kisha 500 milion miles
hizi distance sio za kuongea tu ni kubwa kuliko uwezo wa akili zetu

mpaka leo 2017 hakuna hata technologia moja inayoweza kutuma kitu chochote masafa hayo.na wala haitawahi kutokea milele technology ya aina hii,kwa sababu hizi distance zote sio za kweli,akili zetu zimefungwa sana tukaweza kuamini vitu hivi

hizi simu za mikono tunazotumia hapa savi zote zina minara killa baada ya 100km,ukitoka nje ya uwezo wa mnara hupati network,mawasiliano ya dunia nzima yanapatika kwa kutumia cables zilizo chini ya bahari na sio satelites za wireless kama watu wengi wanavyodhani

simu ikipigwa kutoka china kuja tz haziji moja kwa moja zikanasa anntena za tz, zinashika antenna za kwao huko kisha zinapitia kwenye wire ambazo zipo chini ya bahari na zinaleta mawasiliano kwenye antena ya tz na antena ya tz inaunganisha kwenye simu yako,hivi ndio mawasiliano yote yalivyo kila kitu mpaka internet yote. technology inayotumika ni ile ile ya zamani ya simu za majumbani, saivi wameweka antenna zenye nguvu za wireless kwa kutumia simu za mikono hio ndio tafauti.

kwanini hushangai kwanini mpaka leo africa bado hakuna internet yenye viwango kama nchi za nje kwa sababu internet zetu bado zinatumia line za simu ambazo ni slow saivi pengine ndio wanafanya mabadiliko ya kuweka cables za chini ya bahari kwa jili ya internet za viwango vya juu,kama interenet inatokana na satelites dunia nzima tungekuwa na internet speed ya aina moja mpaka vijijini kila pahala kungekuwa na network bila ya kutumia minara.
 
Aingie hubble telescope website,au anunue telescope ndogo zinauzwa madukani akirudi zanzbar usiku anazima taa anakaa uwani ana enjoy kwa macho yake.hatutaki mrejesho.ndio atashuhudia uumbaji wa mungu na ukubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wa universe.good luck zenjibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ