Kitambue chombo VOYAGER 1

Mkuutuletee picha ya dunia flat.. halafu sayansi usifikiri ni Kama dini! Kila mtu anaweza kufanya tafiti msingi ufate sheria tu zakiusalama.. jirani zetu Kenya wamesharusha satellite why hawaoni dunia ni flat au nao hawaoni kuwa ni flat..?
Siku kadhaa tu hapa Ethiopia pia wamerusha satellite hivyo hawaoni kuwa dunia ni flat..? Tutafichwa na wangapi..? Kama vipi fanyeni nyinyi tafiti mnaosema dunia ni flat mtuletee picha za dunia flat..

Chaajabu kadri mnavyozidi kubisha ndivyo nnavyozidi kuelewa zaidi vile ambavyo nyinyi hamvioni.. swala Kama la gravity alianza Newton akaeleza ila hakusema how!.. Albert akaja kumalizia ya kuwa a heavy mass bends space and this is how we get gravity.. matter tells how space to curve and space tells matter how to move!.. na tafiti zilifanyika theory ya Jamaa ikawa ikathibitishwa.. so Kama unataka kuwaprove wrong ndugu nenda nawe natafiti zako fanya na experiment au unaweza ukaibuka na theory yako utafiti watakusaidia wao maana hata huyo Albert practical hakufanya yeye moja kwa moja japo alihusishwa maana ndo mwenye theory..

Labda ungetumia hata hizo calculation zao ukawaprove wrong.. Leo hii russia na marekani na uchina na nchi kedekede wote waungane kulaghai watu kuwa dunia ni duara na wakati wengine ni mahasimu wa kutosha!..

Mi naona unatakiwa ukafatilie kiundani zaidi Labda utaelewa zaidi.. sayansi ya anga hivi sasa watu binafsi wameshaanza mpk tafiti na hawashobiki kusema dunia ni flat!.. au na wao wanatudanganya..?

Mwezini nchi nyingi tu hufanya tafiti why hawasemi kuwa hakuna ardhi..?

Ingekuwa ni tafiti inayotoka kwa mmoja tu ndo tungekuwa na ulakini lkn a lot of countries.. Tanzania bado hata kurusha satellite!
 
Ndugu yangu ww ni mjinga sana, lkn siyo mpumbavu. Unayoyasema hapa ni ujinga mtupu. Bahati nzuri ww ni mjinga, unaweza kuelimishwa ukaelewa. Kwa ujinga wako unafikiri kwa kutumia macho yako bila msaada wa chombo chochote uone Dunia ilivyopinda. Unatia huruma sana.
 
Nasikia ni uongo sana
 
Katika yote ulosema, sijaona hata moja ambalo naweza kulitia mashaka.
 
Baaria hii nitafanyia utafiti_mpya hii kwangu..!
 
Seriously mkuu? yaani unakuja na conclusion kwamba vyote ulivyotaja havipo kwa mfano dhaifu wa mtungi wa gesi?

Huwezi kumshawishi mtu anayejitambua mwenye akili timamu kwa mfano kama huo labda mjinga asiyejitambua kuwa ni mjinga.

Huo mfano hauhusiani hata kidogo na uhalisia.


,yote hayo sio ukweli tufungue akili kidogo Mwezi hauna ardhi na hakuna anaweza kutua mwezini
Haya mambo ya kutafiti yapo mengi sana lakini lazma uwe na elimu uwezo wa kufikiri sana ili kuhimili utafiti
Unaweza ukaprove mwezi hauna ardhi?

Leta utafiti uliofanya ukagundua hilo na sio mawazo tu uliyobuni.

tunaamini dunia ni duara aina ya sayari kwa sababu watu walitua kwenye ardhi ya mwezi ambao tumeaminishwa kuwa ni duara aina ya sayari pia,
Unaweza kuprove dunia ni flat?

Leta utafiti uliofanya na sio mawazo ya kubuni na perspectives.

Kwa ufupi mambo Yasiyo na uhakika ni mengi sana,kama utakuwa na muda wa kufikiri na kuitafiti,
Umewahi kufanya utafiti wa aina gani mkubwa.
Nitajie mmoja wapo.


Kingine haujakatazwa kupinga ila kwanini unapinga hivyo vitu havipo?
 
Wenzetu wanatumia pesa nyingi na vyombo vya maana "kutudanganya" kama ulivyodai, wewe unatumia nini ili tuone kuwa tunadanganywa?
 
Mkuu vp kuhusu kupatwa kwa mwezi na jua maana wanasayansi hutupa taarifa mapema ya kupatwa dk sekunde mpaka saa ya tukio Hilo kitakachotokea na ndivyo inavyokuwa je nayo inakuwaga ni photoshop au hebu fafanua nalo hili kwa undani ili uweze kutufumbua mengi zaidi...
 
samaleku ostaziii.....๐Ÿ˜…vipi Allah kakujaalia umri na afya mwaka huu? ๐Ÿ˜Ž
 
Mhhh hebu funguka mkuu
 
nimemaliza elimu ya dini na elimu ya dunia nnayo ya juu kidogo, jaribu kuzipitia post nlozojibu kwenye huu uzi unaweza kufahamu baadhi ya mambo nnavyoyaona mimi
na sio kama napinga ila natoa mitazamo na maswali kutokana na hisia zetu tu
You're so Humble
 
Unajua ukiwa stesheni ndani ya train,halafu train nyingine ikawa inaondoka utafikiri train uliyokuwemo ndio inayoenda lakini ukiobserve vizuri utaona ile inayotembea ni train gani.
Hata katika gari Huwa Iko hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ