Kitambue chombo VOYAGER 1

Mkuu huu uzi nilijibizana sana na watu jaribu kuzipitia comments zangu nadhani jibu la hiki swali utakikuta sehemu,ni vuzuri ukazisoma ili ukipata jibu uwe ushapata na mengine na jibu liweze ku-make sense,jibu la mkato peke yake litakuchanganya tu.

Lakini kwa kujazia nyama hili swali,niseme hili kuwa sisi waswahili tuna neno ulimwengu,kwa sasa ulimwengu linamaanisha universe labda,ila hatujui ni neno lipi lilokuja mwanzo kama ni universe au ulimwengu.
Kinadharia ulimwengu kwa sisi waswahili ni dunia ambayo haina mwisho, au kwa kiingereza ulimwengu ingemaanisha realm kwa usahihi,na realm ni Physical environment Ambayo haina mwisho kwa mtazamo wa aliemo ndani ya realm
 
Sisi Waafrika sisi, basi Mingu atusaidie, wakati tunawaza kuuana wenzetu wanawaza mbali
 
HATA KAMA ALIYAONGEA HAYANA UHAKIKA ILA ANGALAU AMEWEZA KUCHALLENGE VITU
How unaweza challenge kitu ambacho kina uhakika na mambo yasiyo na uhakika?

Unachallenge kwa mantiki ipi sasa?

Au unachallenge mradi unachallenge?

Muulize sababu ya kuchallenge kama atakujibu.
TULIVYOKARIRISHWA NA WAZUNGU.
HONGERA ZAKE
Mzungu hajakukaririsha bali umeamua wewe kukariri na si kuelewa.

Usiwalaumu wengine kwa makosa yako mkuu.
 
Sasa kama unaona jamaa hayuko sahihi ndio inabidi umjibu maswali yake badala ya kutumia nguvu nyingi kuandika mipasho.
Hayo maneno yote uliyoyaandika katika mipasho ingetosha kabisa kumjibu jamaa maswali yake na kutoa obvious evidence.
 
sawa,ni hivi miili ya wanadamu ina mfumo wa survival mode, survival mode hii imejengeka kwenye mfumo wa hisia, tuna hisia ambazo ni sensitive sana,
Umejuaje kwamba binadamu ana survivor mode?

kiwa kwenye kitu chochite ambacho kina motion ya aina yeyote lazima utahisi hio motion,hata iwe ndogo sana,
Umejuaje kuhusu hili?

Na hiyo motion ndogo sana ni kiasi gani?
 
huu uzi wa zamani kidogo,uzi huu nilielezea mambo mengi sana jaribu kupitia comments zangu zote pengine utapata baadhi ya majibu unayouliza
Kwanza hakuna haja ya kuamini dunia ni duara. Ni sawasawa na kusema unaamini una mkono.
 
Sasa kama unaona jamaa hayuko sahihi ndio inabidi umjibu maswali yake badala ya kutumia nguvu nyingi kuandika mipasho.
Hayo maneno yote uliyoyaandika katika mipasho ingetosha kabisa kumjibu jamaa maswali yake na kutoa obvious evidence.
Mipasho ni nini?
Maswali gani aliyoniuliza?

Na hakuna sehemu ameniuliza swali mimi ili nimjibu bali mimi ndio nimemuuliza maswali.
 
Mipasho ni nini?
Maswali gani aliyoniuliza?

Na hakuna sehemu ameniuliza swali mimi ili nimjibu bali mimi ndio nimemuuliza maswali.
No ulitakiwa umjibu hoja zake kisha na wewe ndio uje kumuuliza maswali yako.
Sasa badala ya kujibu hoja zake wewe unamletea maswali ya kejeli.
Yaani wewe staili yako haina utofauti na sera za wapinzani,wanachukua sera za chama tawala kisha wanayapindua bila kutuambia wao watafanya nini tukiwapa nchi.
 
No ulitakiwa umjibu hoja zake kisha na wewe ndio uje kumuuliza maswali yako.
Sasa badala ya kujibu hoja zake wewe unamletea maswali ya kejeli.
Unajua kuhusu socratic questioning?
Yaani wewe staili yako haina utofauti na sera za wapinzani,wanachukua sera za chama tawala kisha wanayapindua bila kutuambia wao watafanya
Una hoja za kujibu sasa unaingizia siasa.
Mimi sio mwanasiasa.
 
Nakubaliana na wewe kuhusu habari za mwezi lakini kuhusi maji kupinda na kwamba ndege ndogo zinaruka hapo itakuwa una walakin katika uelewa.Maji ya bahari yako vizuri na macho yako hayawezi kugundua kwani masafa ni marefu kuliko upeo wako.Na kuhusu ndege isingeweza kuruka kama isingekuwa na injini ya kuizidi nguvu hiyo kasi ya mlvuto wa dunia.Si unaona chungwa likidondoka kutoka mtini lazima lije chini.
 
UKIFUATILIA HUU UZI UTAGUNDUA WALIOFUATA VYETI CHUONI ILI WAPATE AJIRA NI WABISHI TU. SIKUSUDII KUMPINGA YEYOTE BALI NAKUSUDIA KUWAKUMBUSHA WALE WANAOKASHIFU BILA KUTAFUTA MANTIKI HIYO SIO ELIMU. ELIMU NI KUKITIA CHANGAMOTO KILE ULICHOAMINI UNAKIJUA. NJE YA MFUMO WA ELIMU KUNA CONCIPIRACY THEORIES NYINGI SANA. MARA YA MWISHO MIMI NAJUA TUMETANGAZIWA DUNIA SIO ROUND BALI NI OVAL(KAMA YAI). HII INALETA MANTIKI YA USO WA DUNIA KUWA FLAT. Ukitembea Dunia nzima na gari unaweza kuhisi ile miteremko ya kushuka upande wa pili wa Dunia (hasa ukiwa Afrika kuelekea Kusini) hii mantiki unaiona kabisa. UKiwa Ulaya ni kama Ulaya nzima iko Flat (ukitoa Norway na Kule Northpole). Kuna vitu kwa mantiki ya kawaida utaviona lakini endapo tu tutakubaliana na theory ya Dunia Kuwa OVAL! Ukitaka nijibu kwa elimu ya Kizungu nitakosa ushahidi. Nimeamua kujibu kwa mtazamo wa macho yangu na uzoefu wa kutembea. Kuhusu Jua Kipindi fulani Ulaya jua linachomoza na kuzama kwa masaa mawili tu. inafurahisha unapoamka saa nane usiku na kukuta jua kali limechomoza halafu saa kumi limeishazama. hii inaweza kuunga mkono ule mzunguko mfupi wa Northpole kulinganisah na Mzunguka wa kati. Kuna vitu havihitaji kukashifiana. Tuangalie tu elimu na mtazamo wa kawaida
 

Mkuu hapa unaposema kuhusu how unaweza kuchallenge vitu vyenye ukakika sijui unakusudia vitu gani,

Katika mafundisho ya dunia na space hakuna vitu vyenye uhakika ambavyo vipo proven
Kwa mfano baadhi ya vitu visivyo na uhakika na havina proof mpaka Leo

-Gravity haina uhakika ni theory hakuna aliewahi kuthibitisha
-Mzunguko wa dunia ni theory hakuna aliewahi kuthibitisha
-Haijawahipo kuoneshwa practically vipi dongo kubwa kama dunia linaweza kuelea hewani na maji kuweza kuganda kulizunguka dongo wakati limo kwenye vacuum environment ambayo inasemwa space ni vacuum(non pressurized environment)
-hakuna proof ya vipi unaweza kuwa na pressurized environment na non pressurized pamoja bila ya kuwa physical barrier( hapa namasnisha dunia na outer space, dunia ni pressurized environment na outer space ni non pressurized environment, vipi unaweza kuviweka pamoja bila ya kuwa solid barrier

Hapa tuchukue mfano wa mtungi wa gesi, mtungi wa gesi ndio dunia kwa mfano,ndani ya mtungi kuna gesi na kinachoizuia gesi isitoke ni mtungi wa chuma ambao ni physically barrier, yaani atmosphere ya dunia ni pressurized gas na outer space ni non pressurized yaani hakuna pressure,baina ya dunia na outer space hakuna Physical barrier (kama ilivyo mtungi) inayoizuia gesi iliyopo duniani kutoka,Hii inaeezakana vipi.
vaccum ya space ni kubwa sana na ina nguvu kubwa ambayo ndio universe nzima na dunia ni ndogo sana kulingana na universe, vipi pressure ya dunia inaweza kuhimili mvuto wenye nguvu ya infinity ya universe bila ya kuzuiwa na kitu chochote,
Chukulia huo mfano wa mtungi wa gesi ukiwa una tundu na uvuje,gesi yote inatoka wakati baina ya dunia na space pako wazi na gesi haitoki duniani hii inawezekana vipi

Kwa ufupi mambo Yasiyo na uhakika ni mengi sana,kama utakuwa na muda wa kufikiri na kuitafiti,

hii elimu yote ni ya kukaririshwa tu na kuamini yote haina proof,ukiachana na hizo proof za kutengeza kama ambavyo tunaamini kuna proof ya outer sPace kwa sababu watu walikwenda mwezini,tunaamini dunia ni duara aina ya sayari kwa sababu watu walitua kwenye ardhi ya mwezi ambao tumeaminishwa kuwa ni duara aina ya sayari pia,yote hayo sio ukweli tufungue akili kidogo Mwezi hauna ardhi na hakuna anaweza kutua mwezini
Haya mambo ya kutafiti yapo mengi sana lakini lazma uwe na elimu uwezo wa kufikiri sana ili kuhimili utafiti
 
Nakuelewa sana
 
Hii akili kubwa vichwa maji wa Jf wanaibeza bure
 
Uko vizuri sana
 
Hahaha bwana Bwana ile propaganda ilikuwa simchezo .....ila duniani kuna watu ni waongo nyieeeee duuhhh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ