Kitambue chombo VOYAGER 1

"We're not alone" trust me kenzy sema tu tuko bussy na mkate wetu wa siku ila huu uwanja ni mpana sana je kuna uwezekano wa kuanzisha jumuiya yetu kuhusu swala hili ili tuwe tunakutana once a month.
kwangu jambo la "we are not alone" linachagizwa haswa na mazingira naweza sema kutokana na ukubwa wa ulimwengu na yaliyomo nadhani maisha yanaweza kuwepo mahala pengine!.
sasa tatizo lipo hapo kwenye neno kudhani tayari kuna ndio au hapana! ila ili kupatikane jibu la kweli tafiti lzm ipewe nafasi ili ijulikane moja..
ndio tunaweza tukawa hatupo peke yetu lkn ni kweli..? hapo kwenye kweli ndio kuna mushkeri.. ukweli huambatana na uthibitisho sasa mkuu lini umethibitishiwa kuwepo kwa alien..?

yeah tupo bize kutafta mlo ila kama tukiweza kujishughulisha na haya huenda tukajua mengi ona wenzetu wanavyogundua mambo na nadhani mengine huwa wanayaficha..
 
Sasa
Sasa hiyo avatar yako pia inanifanya nifikirie zaidi are you one of them?
 
Unasema mwezi haupo, je huo tunauona juu angani usiku unang'aa ni kitu gani?
 
Braza unavyojibu kwa kujiamini.... kama uko ndani ya iko chombo.... wabongo msala saaana duh...

Big up bro
 
Tuko njia moja braza.... wasee wanatuchukua kizembe saaana. .. wao nani bhaaana.... kila siku wanayazua tu mamamae ..... gape gani hili... si hata puto haturush.... wanarusha wao tu.... fix tu.
 




MKUU RUDI SHULE HAMNA POINT ULIYOONGEA HAPO.....Fuatilia vizuri elimu ya anga popote inapotolewa e.g NASA ukikosa nifate inbox nikupe japo ufafanuzi na vivid example yawezekana nikakukomboa na hiyo elimu uliyoipata kutoka kwa wazee wako na ukasaidia kuwakomboa na wao pia maana hawana walijualo...
....Michie....
 
Mkuu jua nalo ni nyota unajua?Na kila.

Hizo nyota unazoziona usiku ni jua katika mfumo mwingine ambao zinazungukwa na sayari nyingine kama dunia inavozunguka nyota(jua) yetu.
 
Salute bro Zenjibari, science na tech ipo lakini hapohapo watu walishakuwa na agenda zao, nakubali sana comment [HASHTAG]#146[/HASHTAG].
Kuna watu wamesoma na kumezeshwa na kunawatu wamesoma na wakatumia uwezo Mungu aliowapa kung'amua kipi sawa kipi si sawa. Hawana tofauti na wataalamu waliobobea katika usuluhishi utawaona kilasiku kwenye majadiliano BBC namna ya kuleta amani drc, sudan,congo wakati wapo wachache wanaokaa vikao vya unyonyaji na kusababisha machafuko ambao wako mbali na huko.
Hii dunia sio ya kumeza kila unachoambiwa, tafakari sana
 
Baada ya uranium kwisha naamini hakitoweza kubaki tena huko kwa maana kitarudi chini...jee hakitoweza kuleta athari kwa binadamu? Au mwisho wake utakuwaje?
Mkuu billion 19 kitaleta athari gani ni umbali mkubwa sana ni inje ya Dunia yetu hakuna athari yoyote ni hasara kwa wanasayansi hususani NASA watakosa taarifa zake
 
wewe ni Bokoharamu lazima , .walikataa hadi chanjo kwa madai wazungu wanata wawaue ,.Lazima tukubali wazungu wako mbali
 
Bosi, kama unaamini dunia sio sphere, naomba nieleweshe tunapataje usiku na mchana? Na inakuwaje bongo iwe usiku mnene same time USA bado kuna jua linawaka?
 
Mkuu kwa hiyo hata zile Google map zinazotuonyesha tulipo ni uongo!maana zote zinahusianishwa na hizi satellite ambazo ni photoshop,sasa zile picha ni uongo?au ukweli na kama ni ukweli zinatufikia kwa teknolojia gani!
Hili swali ni la dollar nyingi sana. Nitag alivyojibu
 
Hicho chombo kitabakia kwenye space, kwa sababu kwenye space hakuna gravity. Ni kama satellites zinavyo float haziwezi ku fall hata kama zitaishiwa nishati
 
Kuna watu wajinga sana! Anatumia simu, tena iPhone kuiponda science, eti wana science waongo! Af katoka kujiunga kifurushi cha internet! Kuna kazi sana ku deal na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ