Kitambo....!!!

Kitambo....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG-20170715-WA0004.jpg

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
naomba wimbo wa sarafina wa kwanza kabisa kuimbwa kwenye iyo muvi..... nimeitafuta sana nimeukosa

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Download album ya nyimbo zote za kwenye hiyo film ya Sarafina on iTunes au Torrent. Mimi nina album yote
 
nikutumie namba pm unitumie huo wimbo tuu

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Hhahahaha mkuu umenikumbusha pale tulipokua tunaangalia sinema a.k.a kideo familia nzima halafu geti linagongwa nje naambiwa mimi nikafungue
 
THE AIR UP THERE, ni bonge la movie lilichezewa migori kenya, safi sana
 
Hhahahaha mkuu umenikumbusha pale tulipokua tunaangalia sinema a.k.a kideo familia nzima halafu geti linagongwa nje naambiwa mimi nikafungue
Hahaha,
Mi nakumbuka enzi tunaenda kuangalia video kwa jirani kipindi hiko bado kwetu haijanunuliwa so ukifika kwa jirani sharti ukae chini ndio uangalie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom