Mimi nakumbuka wembe Chapa Mamba na picha ya wembe ukimkata mamba vipande viwili, siku nilipomuona mamba mwenyewe live sikutaka tena kuona huo wembe.
nimecheka bila kujitambua
Mimi nakumbuka wembe Chapa Mamba na picha ya wembe ukimkata mamba vipande viwili, siku nilipomuona mamba mwenyewe live sikutaka tena kuona huo wembe.
"Nieleze siri ya mafanikio...."
"Sio siri, ni revolla!"
" Revolla peke yake?"
" Ndiyo...kwani marashi yake ni
tulivu, na huniacha fresh,
mchana kutwa..."
Jamani hivi yule binti alishapotelea wapi? Nilikuwaga namfeel kinoma. Nadhani zingekuwa zama hizi za utandawazi angekuwa bongo movie.
unakumbuka huyo mbebez!
Kweli kabisa mpenzi revola bythen...atakuwa mtu mzima sasa
Umeona eeh!
Dah we jamaa umenivunja nbavu