Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
AiseeeNikiachaga chips kinapotea
Ila sasa namuachia nani chips na tu mayonnaise?
Anyway, hakiwashi.
AiseeeNikiachaga chips kinapotea
Ila sasa namuachia nani chips na tu mayonnaise?
Anyway, hakiwashi.
Na mke wa babakoNa mamako?
Najaribu kidogo kidogo.Hongera kama umezipata
Kitambi ni matokeo ya lishe mbovu.Kitambi aka friji kinaninyemelea na umasikini wangu huu
Ndo kabisa nishapa gundu na sijui nitatoboaje, vipesa kidogo tu kitambo kinanisonga
Bilgate hana kitambi
Elon musk hana kitambi
Aliko Dangote hana kitambi
Bakhresa hana kitambi
Mo Dewj hana kitambi
GSM hana Kitambi
Rostam hana kitambi
Alibaba hana kitambi
Mesi hana kitambi
Ronaldo hana kitambi
Jayz hana kitambi
Rais Samia hana kitambi
Kikwete hana kitambi
Diamond platinum hana kitambi
King Kiba hana kitambi
Obama hana kitambi
Naona kitambi ni ishara ya ujinga na umasikini
Mora niokoe na hili friji tumboni
😂😁Sasa kitochi cha masikini atakifutia kwenye kitambi....[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli udugu 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee udugu una nn lakini?
Huku unawacheki kiaina na kutabasamu kwa wanaokudoroza na macho yao.Kitambi kina Raha sana pale unapo futia simu
Acha kufakamia ma vyakula kula kwa ratiba na pia changanya matunda kwenye diet yako, punguza mafuta, pia fanya mazoezi angalau mara 3 kwa wiki.Kula kimasikini ni kula vili?