Kitambi unanitaka nini mimi masikini wa watu

Kitambi unanitaka nini mimi masikini wa watu

ubaya ni kuwa umetudanganya
ELON MUSK ANA KITAMBI SAME TO DANGOTE WARREN BUFFET UNAMJUA AND OTHERS MANY
 
Kitambi hakina tatizo ni kama ndevu tu. Kukizuia ni shughuli pevu. Fikiria mtu kama DAB na lile wowowo anajisikiaje?
 
Mzee Humphrey Polepole hana kitambi
Mongella hana kitambi
Hapi hana kitambi
Jokate hana kitambi
Makala hana kitambi.
Wasira hana kitambi
Peter Msechu hana kitambi
Mnyeti hana kitambi
Nape hana kitambi
Heche hana kitambi
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kuna LIKITAMBI na KAKITAMBI
Mkuu,
Kikitambi kakiendana na mwili ukichomekea unapendeza ukivaa shati 😊 linakaa ukivaa suruali inakaa ukitinga SUTI mkuu inakutoa chicha...

I stand with KAKITAMBI for sure 😊😊 sijawai penda kua mwembamba for sure..
 
Wasira hana kitambi
Peter Msechu hana kitambi
Mnyeti hana kitambi
Nape hana kitambi
Heche hana kitambi
Hao ndo kina nani?

Tunawasema akina mo wewe unasema msechu muombolezaji
 
Back
Top Bottom