Kitambi unanitaka nini mimi masikini wa watu

Kitambi unanitaka nini mimi masikini wa watu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,682
Reaction score
39,078
Kitambi aka friji kinaninyemelea na umasikini wangu huu
Ndo kabisa nishapa gundu na sijui nitatoboaje, vipesa kidogo tu kitambo kinanisonga

Bilgate hana kitambi

Elon musk hana kitambi

Aliko Dangote hana kitambi

Bakhresa hana kitambi

Mo Dewj hana kitambi

GSM hana Kitambi

Rostam hana kitambi

Alibaba hana kitambi

Mesi hana kitambi

Ronaldo hana kitambi

Jayz hana kitambi

Rais Samia hana kitambi

Kikwete hana kitambi

Diamond platinum hana kitambi

King Kiba hana kitambi

Obama hana kitambi

Naona kitambi ni ishara ya ujinga na umasikini
Mora niokoe na hili friji tumboni
 
Back
Top Bottom