Kitambi kinaanzia umri gani?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,518
3,589
Habari wakuu

Kwakwel mimi baharia wa nchi kavu ndugu bwana Fene hiki kitu kitambi sijawah kukielewa hat kidogo,

Swali

Je hiv kitambi haswa kinaanzaga katika umri gani? ili nijipange kukiepuka

Maoni yenu wakuu kwa pamoja tufahamu

kitambi.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2079500
 
Kitambi ni heshima hasa unapoenda ukweni,
tena ukiwa na simu ya kupangusa...
Unachomoa simu ya kupangusa unapangusa kwenye kitambi.
Sasa kama huna kitambi utapangusia wapi?
 
Kitambi hakiashirii kuridhika
Bill gates?
Mo dewji?
Manji?
GSM?
Hao wote hawajaridhika?
Ubaya wa kuwa na biashara kubwa hata upate vipi pesa huwezi kuridhika fuatilia hilo, ukijaaliwa Milioni moja utatamani upate milioni tano zaidi, ukijaaliwa bilioni kumi utatamani upate bilioni ishirini na tano zaidi. Angalia sisi pangu pakavu ukipata 2000 tu tayari umeridhika na maisha yanaendelea!! Fatilia hilo!!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nina uhakika kwa jinsi nilivyo slim asee sitakipata mpaka pale umauti utakaponipata
 
Kuna vitambi vya kiporo cja wali maharagwe hichi huwa kinakuja huku ukiwq na hali ngumu.
 
Back
Top Bottom