Kitambaa cha Mwanamke!


Heeh!kumbe nimekosea kuuliza,am xo sory km nimekuboa mdada,unajua kuuliza sio ujinga ee nilitamani sana kunielimisha kuliko kunikashifu kwa jina langu tena kwa maneno machafu km hayo..,.mi sina mengi ya kuongea WADAU NAOMBENI KDOGO MNISAIDIE KUMJIBU HUYU MPENDWA KUHUSU HII THREAD...
 
Last edited by a moderator:
Kupengea kamasi, kupigia chafya, kujifuta maji baada ya kunawa mikono etc
Wewe unataka viwe na kazi gani??????????????

Hapo ndio utaona ustaarabu wa mtu. Mijino ya njano na ukoko tele, bado anapanua mdomo kama mamba wa Ruaha kupiga miayo as if yuko peke yake jangwani. Au kupiga chafya, jamani hivi hayo yote yanahitaji uwe mwanamke?!!

Ubongo ukifa, mwili utasingiziwa mengi sana. Kutembea na leso ni dalili ya binadamu aliyestaarabika. Mitongotongo hadi ishuke kwenye mashavu?
 
Kupengea kamasi, kupigia chafya, kujifuta maji baada ya kunawa mikono etc
Wewe unataka viwe na kazi gani??????????????

kuna kile kinacho wekwa kwenye KIPIMA JOTO,NACHO KWA KUFUTIA KMAS,JASHO,NA VUMBI?
 
Nimejaribu kucheki koment zenu wadada nimegundua kitu,kumbe mnatembea na leso zaidi ya mbili,yaani ile inayoshikwa mkönoni na ile inayo hifadhiwa kwenye pochi,sasa hyo ya pochi ina kazi gan?
 

Tukutane huko steers mnakotongozania ndio uone kama mimi ni Mdada au MUME HASA.

Huu uzi au ujuha? Eti leso ya nini halafu unajiita mwanaume. Ndio nyinyi mnakanyagiwa wake zenu sababu ya uchafu. Mwanamke ana miaka mi5 hajafika kileleni sababu anakosa hisia kwa sababu ya uchafu wako. Na ningekuwa jirani yako ningekuwa wa kwanza kukugegedea mkeo pimbi wewe.

Usirudi tena kutukana Jinsi yangu kwa asili yako ya uchafu na kukosa ustaarabu. Hao 'wadau' unaowaomba wakusaidie kunijibu ungewaomba wakusaidie kukuelewesha kuwa:
1. Ni aibu na sio ustaarabu kwa mwanaume kupiga chafya bila kufunika mdomo
2. Ni uchafu kuwa na matongotongo au kuyafuta kwa kutumia mikono
3. Wanaume hatufuti mafua na shati tulilovaa kama watoto
4. Kupiga miayo hadharani kama mamba ni uchafu na kero kwa wengine
5. Kutoka mijasho ikakutiririka usoni ni uchafu na sio uanaume.

Uanaume majukumu, sio uchafu. Halafu usinitishie grupu la watu wewe, mwanaume unaomba poo? Jibu hoja sio kukimbilia wadau, ndio nyinyi mnaotupakazia makamasi kwenye viti vya daladala pambaf wewe!
 
... Sisi watumihaji wa usafiri wa daladala hatuna haja yakuwa na kitambaa cha kufutia jasho..., unapopanda gari (bus) lililojaa sana na kama wewe mfupi unajipangusia jasho kwenye nguo za abiria wenzio...
 

asante mkubwa,ckujua km ww ni mke au mume kwa sababu ya status yako na taarabu zako,okey inaonekana ww ni mshenzi wa tabia ya kugegeda wake za watu,kumbuka mke wa m2 ni sumu,au we ndo mjinga unaesema unamaziwa geto?OK,ngoja nikae kmya nisije unda Tume nikusake nikupoteze mana hujui unaongea na nani...RESPECT UR SELF,DAMN
 
... Sisi watumihaji wa usafiri wa daladala hatuna haja yakuwa na kitambaa cha kufutia jasho..., unapopanda gari (bus) lililojaa sana na kama wewe mfupi unajipangusia jasho kwenye nguo za abiria wenzio...

hah!hah!hah!mwambie huyo Mwana mtoka pabaya!
 

Sitakuwa na dhambi kumgegeda mke wa mtu mchafu kama wewe. I will be doing her a favor.

Kuhusu kunisaka we ni nisake tu, ila uje na leso maana utatoka jasho hadi kwenye hiyo mijino yako ya njano. Nyati hawindwi na mshale wewe. Hiyo mikwara yako tulia nayo utawatishia mateja wenzako kijiweni.

Ombi langu kwako: usituchafulie siti za daladala kwa makamasi, tembea na leso
 
Hebu nikuulize hv kweli ww ni mwanaume au mwanamke?MIMI NIMEWAULIZA WANAWAKE,lakn cha Ajabu dume zima Unashadadia thread zisizo kuhusu sasa ww tukuweke kundi gani?au ni wale wa cameruni nin?kwa sababu wanaume tume2lia tunasubri koment za wadada cha ajabu ww mtoka pabaya unakuja na ubaya wako,ama kweli jina linasadifu yaliyomo,DOGO SOMA KWANZA THREAD NDO UKOMENT,ONA SASA UMESHAOLEWA TAYARI!
 

Wakati mwengine hapa ndani ya JF huwa najaribu kuingia katika mawazo ya watu na kusafiri nao, lengo ni kujifunza kutoka katika mawazo yao, wakati mwengine mawazo yao yanatisha lakini inabidi kustahamili ili upate somo!
 
Ukipata mafua, unafutia mikono baada ya kupenga peeeeennh kwenye skin jeans eeh???

Aisee siwezi ishi bila at least à dozen of vitambaa.
Nina miaka mingi sana sijamiliki leso
Tena zilikuwepo zile za mia tatu, kama taulo hivi

Ila mara nyingi nakuwa na mtandio au kanga in case fire, na mbona sitoki majasho wala sihitaji kujifuta? Unless nafanya mazoezi.
 

Mtu yeyote asiyejiamini husema SISI badala ya MIMI. Mwanaume hajikombi bwana, ongea wewe peke yako na sio kusema TUNASUBIRI, wewe na nani?

Acha uchafu. Tumia leso pimbi wewe
 
mtu yeyote asiyejiamini husema sisi badala ya mimi. Mwanaume hajikombi bwana, ongea wewe peke yako na sio kusema tunasubiri, wewe na nani?

Acha uchafu. Tumia leso pimbi wewe

mwanaume wa shoka asifiwi usafi anasifisiwa kazii!!!
 

Duh! Ukofresh lakini? Labda kuhusu chafya sa nyingine inaweza kuja pasipo kutarajia- reflex- na ukashindwa kuwai hicho kitambaa chako
 
Kawaida akinamama huwa wanasafishia shafti baada ya kuduu kwa kutumia hivyo vileso. Acheni kuzunguka sema ukweli=Najilinji wa Njinjo. Kaunga confirm
 
Duh! Ukofresh lakini? Labda kuhusu chafya sa nyingine inaweza kuja pasipo kutarajia- reflex- na ukashindwa kuwai hicho kitambaa chako

Umeona mkuu, SAA NYINGINE lakini si zote. Inapotokea ukashindwa kuwahi kitambaa, ina maanisha utakinga mikono. Endapo kitaruka kipande cha kohozi/kamasi kikatua kiganjani mwako, basi hiyo leso itakusetiri utajifuta nayo.

Hilo jinga-dume lenyewe litafutia kwenye kiti au suruali yake kwani ndio lilivyolelewa likiambiwa ndio uanaume.
 
Kumbe unajua anasifiwa kwa kazi na sio UCHAFU eeh, sasa umeanza kukua.

yap!sio leso wala kitambaa,hapa ni ful kuminya mpk bhas!umenpata ww chaliii,ndo mana nikawauliza mademu vtambaa vya nin?kdume mimi najua kaz 2!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…