Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee

unadhani siasa inajengwa na kubomolewa jf? mashabiki wa cdm wapo kibao hapa jf tena zaidi ya 80%, kama utakumbuka kauli ya mr dhaifu ya kuwaambia uvccm wasiwaache cdm wakatamba mitandaoni ndiyo iliyoasisi hiki kitengo cha LB7! wengine wakapewa smartphone na makamba lakini lengo ni kuvuruga mijadala ya msingi!!! leo hii jf imekuwa kijiwe cha majungu hadi kupelekea watu makini kuachana nayo.
Pili,rejea ile poll ya dr slaa na mamvi,ukichambua zile kura utabaini kuwa hawa buk 7 wanahesabika ila wanamiliki akaunti zaidi ya kumi kila mmoja ndiyo maana kura za lowasa hapo zinachekesha huku DrSlaa akitisha mbaya!!!!
 
CHADEMA iko vizuri. Ila mamluki na wanafiki ndio wanaokidhuru. Bado kuna watu wako kwenye pay roll ya magamba.. Imarisheni sana Red Guard.
 
Wote mnambwela mbwela Tu, hakuna cha ccm, wala chadema wala sijui chama gani ambacho kinaweza kumbadilishia mtanzania maisha, wote Ni wezi Tu, fighting for their own benefits! Binafsi sina imani na chama chochote cha siasa na sitegemei kucja kupiga kura!
 
wewe wanachama wa chadema si wote wenye kadi,binafsi sina kadi ya chadema,lakini kwakuwa ccm na serikali yake haitujali kabisa wananchi,nimeichukia hakuna mfano,kwahiyo ujue kwamba kuimarika kwa chadema hakutokani na kuongezeka kwa wanachama wanaochukuwa kadi tu bali hata wanaccm wenyewe,japo wao hufanya kwa siri kwa kuogopa vitisho wanavyoewa
Lengo la mleta hoja ni kuimarika kwa chadema hatimaye kushika DOLA kwa njia ya Kidemokrasia iesanduku la kura. Bila wanachama. mashabiki. wapenzi na wakereketwa huo ushindi wa kidemokrasia mtaupataje? Au mtapindua kutumia vikosi vya Waasi?
Chadema mtashinda mijini kwa sababu sio ya uelewa bali kwa sababu ya mihemko ya kisiasa na vijana waliokimbilia mijini.
Sayansi ya Siasa ina njia zake na tuache kudanganyana tukachukue 80% ya wa tz vijijini.
 
Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee

Wacha kufikiri kwa kutumia tundu la kutolea hewa chafu wewe.

Nani kakuambia kuwa na wanachama wengi ndio kigezo cha kushinda chaguzi? Kwa taarifa yako katika majimbo yote Tanzania bara wapinzani wanayoyashikilia ccm inaongoza kwa kuwa na wanachama wengi wenye kadi.

Unaweza kuwa na wanachama wenye kadi lakini wasikupe kura, kwani kura ni siri ya mtu hivyo mtu ataitoa kura yake kutokana na matakwa yake mwenyewe. Na ndio maana kwenye Semina za wajumbe wa bunge la katiba linaloendelea wanataka kura za siri.

Kukubalika na wananchi ndio sababu kuu ya kupata ridhaa ya kushika dola.
 
kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA,kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamin kinapitia wakat mugumu na hakitakuwa na mazingira mazur katika uchaguz ujao.majibu yote yanaweza kuwa sawa lakin si sahihi,wanajanvi jibu hili ndo sahihi,CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguz kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM,nasema hivi kwa sababu naamin chadema kitatumia tulufu ya chaguz na harakat zingne kufanya mabadiliko na mapinduz ya siasa,misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga,bado hakuna chama mbadala wa chadema,ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduz ktk siasa haviwez kutishia chadema bali vitazid kuimalza CCM, Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao,iwe n ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU,MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI

Mbona mwandiko wako unaonyesha wewe ni msukule wa Mbowe.
 
CHADEMA ni rahisi sana kukamata DOLA kama watafanya yafuatayo:-
1: Vijana waliopo mijini wamewaacha wazazi wao vijijini kuja kutafuta maisha. Safi sana.
2:Wazee hao wanawategemea vijana waliokuja mjini wabadilike kimaisha. Lakini imekuwa tofauti kutokana na sera mbovu za CCM. Sawa kabisa
3:Chadema waelimisheni vijana hawa namna ya kujenga ushawishi kwa wazazi wao. Waweze kuwabadilisha wazazi na ndugu zao walioachwa vijijini.
4:Waache lugha chafu .waongee kwa staha na pointi zenye mashiko. Nchi hii mnachukua. Watanzania hawapendi FUJO.
 
Chedema haitapiga hatua zaid ya kuwa chama kiongoz cha upinzani. Tukikiruhusu kushika dola tutafifisha upinzani hivyo kudhoofisha maendeleo ya nchi. Tumwombe mungu chadema iindelee kuwa chama cha upinzani cha kudumu. Naitwa jerome komu: jirani yake ndesamburo hapa moshi

Ni kweli mkuu, bora CHADEMA iendelee kuwa chama cha upinzani na CCM kitawale miaka 50 zaidi ili haya ambayo yanatufaa tuendelee nayo hapa Tanzania.
ImageUploadedByJamiiForums1394262220.673825.jpg
View attachment 143485
View attachment 143486


Sent from my iPad using JamiiForums
 
umefanya makosa sana kumfungulia mwizi mlango , ungewaacha waendelee kudhani na kuamini kwamba cdm inakufa .
 
Kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA, kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamini kinapitia wakati mugumu na hakitakuwa na mazingira mazuri katika uchaguiz ujao.

Majibu yote yanaweza kuwa sawa lakini si sahihi, wanajanvi jibu hili ndo sahihi, CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguzi kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM ,nasema hivi kwa sababu naamini CHADEMA kitatumia tulufu ya chaguzi na harakati zingne kufanya mabadiliko na mapinduzi ya siasa.

Misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga, bado hakuna chama mbadala wa CHADEMA, ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduzi katika siasa haviweiz kutishia CHADEMA bali vitazidi kuimalza CCM.

Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao, iwe ni ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU, MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI

Very poor political analysis, that has no base!
 
Mleta mada ni CCm. Vichwa vya panzi- bavicha mnasifia, hamuoni kuwa nyie ni hayawani
 
Wanaopinga na wapinge, na wanao support waendelee ku-support! Mzizi wa fitna utakatwa mara baada ya "KUBORESHA DAFTARI YA WAPIGA KURA". Wako watakaoCHEKA na wengine watalia KILIO na KUSAGA MENO!!
 
Tunahitaji taasisi imara zitakazokuwa na nguvu ya kumwajibisha yeyote bila kujali cheo chake wala haiba yake katika taifa.
 
cbandiho;

Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee

Kwa hiyo kwako na wewe hii uliyoi-display hapa ndiyo evidence ya critism yako ya kwamba CHADEMA inakufa?
 
Back
Top Bottom