Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

cbandiho

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
67
Reaction score
47
Kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA, kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamini kinapitia wakati mugumu na hakitakuwa na mazingira mazuri katika uchaguiz ujao.

Majibu yote yanaweza kuwa sawa lakini si sahihi, wanajanvi jibu hili ndo sahihi, CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguzi kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM ,nasema hivi kwa sababu naamini CHADEMA kitatumia tulufu ya chaguzi na harakati zingne kufanya mabadiliko na mapinduzi ya siasa.

Misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga, bado hakuna chama mbadala wa CHADEMA, ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduzi katika siasa haviweiz kutishia CHADEMA bali vitazidi kuimalza CCM.

Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao, iwe ni ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU, MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI
 
cbandiho;

Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee
 
Last edited by a moderator:

mkuu ukikataka kujua chadema imepata wanachama wangapi jiulize imepata lini umaarufu kulingana na ccm au cuf baada ya hapo angalia inawabunge wangapi kulinganisha na cuf ambayo imesimama muda mrefu na ilikua na watu wengi zaid
pia ukitaka kumuamini mtoa mada angalia chama tawala kinavotumia nguvu kubwa kupambana na chadema hii ni kwakua tu chadema imepata wafuasi wengi kuliko chama tawala
kumbuka pia chama tawala kinatumia hata majambazi kuteka wafuasi wa chadema ili watu waogope kushabikia chadema lakini pia kumbuka wananch kwa sasa wamejua haki zao kupitia chadema hivyo hata hao unaosikia wameenda ccm kumbuka ------------ tu na chama tawala
pia kumbuka hata mabomu yanayouwa watu kama vile soweto ni kuwatisha wapinzani au wafuasi wa chadema ili wasishabikie chadema
je kama chadema haina wafuasi wengi kwanini chamam tawala kitumie nguvu kubwa kama hizi ikiwemo kuwapa laptop na buku 7 watu kama wewe maana mtu mwenye akili timamu hawez shabikia ccm ila ni nguvu ya kipesa waliokuwa nayo ndo maana wamekununua wewe uwatumikie wakati huwapendi
pia kumbuka hakuna marefu yasiyokua na ncha hapa ilipo ccm ndo mwisho wake
nakuombea kwa mungu akubariki kwan ni shida tu walizokusababishia wao halafu leo wanakununua kwa buku7 ili uwashabikie hakika unapata dhambi
mungu ibariki tanzania
mungu ibariki chadema
 
kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA,kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamin kinapitia wakat mugumu na hakitakuwa na mazingira mazur katika uchaguz ujao.majibu yote yanaweza kuwa sawa lakin si sahihi,wanajanvi jibu hili ndo sahihi,CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguz kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM,nasema hivi kwa sababu naamin chadema kitatumia tulufu ya chaguz na harakat zingne kufanya mabadiliko na mapinduz ya siasa,misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga,bado hakuna chama mbadala wa chadema,ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduz ktk siasa haviwez kutishia chadema bali vitazid kuimalza CCM, Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao,iwe n ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU,MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI
hypothetical
 
kama ikulu ya mtei pale tengeru arusha sawa lakini sio ikulu ya watanzania magogoni
 
Chedema haitapiga hatua zaid ya kuwa chama kiongoz cha upinzani. Tukikiruhusu kushika dola tutafifisha upinzani hivyo kudhoofisha maendeleo ya nchi. Tumwombe mungu chadema iindelee kuwa chama cha upinzani cha kudumu. Naitwa jerome komu: jirani yake ndesamburo hapa moshi
 
Pamoja saaaaaaaaaaaana
 
Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee

wewe wanachama wa chadema si wote wenye kadi,binafsi sina kadi ya chadema,lakini kwakuwa ccm na serikali yake haitujali kabisa wananchi,nimeichukia hakuna mfano,kwahiyo ujue kwamba kuimarika kwa chadema hakutokani na kuongezeka kwa wanachama wanaochukuwa kadi tu bali hata wanaccm wenyewe,japo wao hufanya kwa siri kwa kuogopa vitisho wanavyoewa
 
Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee
Kwahiyo wewe unaamini sana siasa za mitandaoni? Hukumbuki kuwa kuna post nyie buku 7 mliwahi kuweka humu JF mkisema kuwa watu wa chadema wanashinda mitandaoni kwa ajiri ya kuisifia Chadema? Leo tumepunguza kupost mambo ya Chadema unasema tayari chama kimekufa. Nyambafu wewe, Chadema haitakufa,ilikuwepo,ipo na itazidi kuwepo. Wewe endelea kuhangaika na data zako za kwenye keybord sisi tupo level ya Chadema msingi kimyakimya. Ila naomba nikukumbushe kuwa hata kama nyie buku 7 mnapost topic, 98 % ni kuhusu chadema. Japo mnapo post mnadhani mnaichafua ndio kwanza mnaifanya iwe juu zaidi maana "Mti wenye matunda ndio upigwao mawe"
 
Chedema haitapiga hatua zaid ya kuwa chama kiongoz cha upinzani. Tukikiruhusu kushika dola tutafifisha upinzani hivyo kudhoofisha maendeleo ya nchi. Tumwombe mungu chadema iindelee kuwa chama cha upinzani cha kudumu. Naitwa jerome komu: jirani yake ndesamburo hapa moshi

Usiwe na wasiwasi upinzani utakuwa imara sana utakao kuwa unaongozwa na CCM baada ya CHADEMA kuingia madarakani kuwaongoza wtz kwa maendeleo zaidi.
 
Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee

umesema vema ila walengwa `hakunaga' akili.so, hawataelewa umesema nini.
 
kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA,kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamin kinapitia wakat mugumu na hakitakuwa na mazingira mazur katika uchaguz ujao.majibu yote yanaweza kuwa sawa lakin si sahihi,wanajanvi jibu hili ndo sahihi,CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguz kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM,nasema hivi kwa sababu naamin chadema kitatumia tulufu ya chaguz na harakat zingne kufanya mabadiliko na mapinduz ya siasa,misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga,bado hakuna chama mbadala wa chadema,ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduz ktk siasa haviwez kutishia chadema bali vitazid kuimalza CCM, Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao,iwe n ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU,MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI

Utabirj huu nitautunza.si busara mtu kupinga utabiri wakati mda haujafika maana nakumbuka Wasira aliwahi kusema cdm kitakufa 2013 sasa naona kimya kwaaanza ndo kinatisha.
 
CHADEMA ina watu wengi sana ambao wanaiunga mkono.Wapo wanachama wenye kadi za chama hicho wapo wanachama ambao hawana kadi za chama lakini ni wafuasi wa chama hicho. Mtaji mwingine ambao ni mkubwa sana ambao utazidi kukiimarisha CHADEMA ni wafuasi wa CCM ambao wengi wao watatimukia CHADEMA kutokana na CCM kukosa demokrasia ya kweli kwa wanachama wake pamoja na mtifuano utakao tokea kwenye kura za mchujo kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2015.
 
Huo ni ukweli mchungu kwa ccm na vibaraka wake, atakayepinga anajitoa ufahamu sababu ya njaa tu, ukitaka kujiridhisha ukweli huu, angalia jinsi ccm wanavyokataliwa na wananchi ktk mikutano yao ya siasa, bila kusomba watu kwa maroli, kupika wali, pombe na kuwalipa hela, watu hawfiki kenye mikutano, na wanaofika ni wachache, kule Kalenga wameanza kuwanunua viongozi wa Chadema wasiojielewa kwa gharama kubwa, na hiyo ndiyo sera ya ccm kwa sasa, wameshindw
 
Hivi kuna mtu yeyote mwenye akili TIMAMU anaweza kuisifia CCM?

Yaani ni jana tu watu wamekomba billioni 120 benki kuu,pesa za watanzania halafu BOGA fulani lenye mke/wake na watoto linaisifia CCM?

Hakya nani tena hata siamini!!?Hivi tukikata hicho kichwa kweli ndani tutakuta ubongo wa kawaida kweli!?Au KAMASI!

Hii inanifanya niamibi kama mtu hatakuwa MWENDAWAZIMU basi atakuwa KICHAA!
 
kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA,kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamin kinapitia wakat mugumu na hakitakuwa na mazingira mazur katika uchaguz ujao.majibu yote yanaweza kuwa sawa lakin si sahihi,wanajanvi jibu hili ndo sahihi,CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguz kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM,nasema hivi kwa sababu naamin chadema kitatumia tulufu ya chaguz na harakat zingne kufanya mabadiliko na mapinduz ya siasa,misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga,bado hakuna chama mbadala wa chadema,ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduz ktk siasa haviwez kutishia chadema bali vitazid kuimalza CCM, Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao,iwe n ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU,MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI

Ni heri ungekaa kimyaa, Hujui kufanya uchambuzi!
 
Kama ni Uzi bas huu ndo Uzi wa kujadili b'coz una upembuz yakinifu na kila vitamins .chadema oyeeeeee
 
Back
Top Bottom