mwalimu wenu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 203
- 19
Eti wahuni nao wataka ikulu,wakajenge yao moshi labda wataingia.
Eti wahuni nao wataka ikulu,wakajenge yao moshi labda wataingia.
Mauwaji ya Olasiti....Soweto utekaji wa ulimboka utesaji wa Kibanda na Kubenea si ujangili?
Laana na Damu za watu zinazowalilia ndo kitafanya hicho chama kife kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015...
Eti wahuni nao wataka ikulu,wakajenge yao moshi labda wataingia.
Usiwe na wasiwasi upinzani utakuwa imara sana utakao kuwa unaongozwa na CCM baada ya CHADEMA kuingia madarakani kuwaongoza wtz kwa maendeleo zaidi.
Kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA, kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamini kinapitia wakati mugumu na hakitakuwa na mazingira mazuri katika uchaguiz ujao.
Majibu yote yanaweza kuwa sawa lakini si sahihi, wanajanvi jibu hili ndo sahihi, CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguzi kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM ,nasema hivi kwa sababu naamini CHADEMA kitatumia tulufu ya chaguzi na harakati zingne kufanya mabadiliko na mapinduzi ya siasa.
Misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga, bado hakuna chama mbadala wa CHADEMA, ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduzi katika siasa haviweiz kutishia CHADEMA bali vitazidi kuimalza CCM.
Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao, iwe ni ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU, MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI
Kama ni Uzi bas huu ndo Uzi wa kujadili b'coz una upembuz yakinifu na kila vitamins .chadema oyeeeeee
Naomba niungane na wewe kwenye huu utabiri. CHADEMA kupita kwenye hii misukosuko ni udhihirisho wa maono niliyoyaona kuwa soon itaingia Ikulu.
Tahadhari kidogo natoa..... Kuna kiongozi atasalitiwa na wenzake nao watasababisha huyo kudhalilika kwa kiasi fulani.... Hayo yatakapotokea asihofu kabisa.... Wala asikate tamaa japo itaonekana kama vile wamemmaliza ata rejea gafla kama kimbuga na hao waliomsaliti hawataamini macho yao!
Says Ame the prince!
kidogo ni afadhali kama unajua ni ikulu ya Watanzania ambayo si lazima cccc.m waingie, yeyote anayeshinda anaingia, acheni watu waamue na hakuna kuibiana.kama ikulu ya mtei pale tengeru arusha sawa lakini sio ikulu ya watanzania magogoni
Marehemu chagadema (rest in hell)
cbandiho;
Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee
chadema is no more...ukitaka kuprove hilo...chopa tatu...kata tatu
chedema haitapiga hatua zaid ya kuwa chama kiongoz cha upinzani. Tukikiruhusu kushika dola tutafifisha upinzani hivyo kudhoofisha maendeleo ya nchi. Tumwombe mungu chadema iindelee kuwa chama cha upinzani cha kudumu. Naitwa jerome komu: Jirani yake ndesamburo hapa moshi
Eti wahuni nao wataka ikulu,wakajenge yao moshi labda wataingia.
jkulu aliyaacha mangi wataingia ila ile ya magogoni hawana ubavu bali wataendelea kwenda kunywa juisieti wahuni nao wataka ikulu,wakajenge yao moshi labda wataingia.
Eti wahuni nao wataka ikulu,wakajenge yao moshi labda wataingia.