Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

Kama ikulu ya tz ni nyumba ya mzee mtei chadema itaiona ikulu 2015 la sivyo mtapaki kupayukapayuka tu,binafsi bado sijaona upinzan wa kutisha tz,nendeni kwa Odinga akawafundishe namna ya kujenga upinzani imara.Si kuwa tu na kikundi cha wahuni na kusema tunaingia ikulu.Poleni sana mnaofuata mkumbo wa chama cha SACCOS cha akina mbowe,mtei na ndesamburo na herukopta zao za kiumaskini.
 
Huo ndo ukweli usiopingika Chadema is getting stronger kila siku.. Hata kwenye maeneo ambayo Chadema ilikuwa hainaga kura sasa CCM inashinda kwa kuchechemea na kwa hila nyingi... Yes 2015, wont be easy for CCM, huu siyo utabiri kaka its solid FACT.
 
Kumbe shehe Yahya bado yupo? Au ni mzimu wake?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ikiwa itaacha kusalitiana kama wanavyotuumiana
 
Ndio maana niliona tawi la chadema maeneo ya kibaha njiani kama unaelekea Mlandizi limeandikwa M4C IKULU 2015.Bila shaka huyu atakuwa Mtabiri wao.
 
cbandiho;

Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi!
kwa akili zako fupi unadhani watu wanachukua kadi kwenye majukwaa na kusahau kuwa kuna ofisi za chama matawi na opereshen chadema msingi ndizo zinazoingiza wanachama wapya. kalagabao endelea kulala had ukiamka chakula kimekwisha!
biringisha kimba wewe
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA bila data za kisayansi hamfiki mbali,tatizo viongozi wenu wote vilaza.....mngeutumia waraka wa kitila mngefika mbali sana tatizo lenu wabishi na zero kichwani.Ngoja maCCM yakamue nchi....huku mkitambaa angani tu....!
 
Kama ikulu ya tz ni nyumba ya mzee mtei chadema itaiona ikulu 2015 la sivyo mtapaki kupayukapayuka tu,binafsi bado sijaona upinzan wa kutisha tz,nendeni kwa Odinga akawafundishe namna ya kujenga upinzani imara.Si kuwa tu na kikundi cha wahuni na kusema tunaingia ikulu.Poleni sana mnaofuata mkumbo wa chama cha SACCOS cha akina mbowe,mtei na ndesamburo na herukopta zao za kiumaskini.

Ugeni unakusumbua mwalimu
ila karibu learn kua GT usi copy paste maneno ya watu
 
CHADEMA bila data za kisayansi hamfiki mbali,tatizo viongozi wenu wote vilaza.....mngeutumia waraka wa kitila mngefika mbali sana tatizo lenu wabishi na zero kichwani.Ngoja maCCM yakamue nchi....huku mkitambaa angani tu....!

Ata wangetumia waraka wako bado usingekaa kimya
 
Haupo sahihi uchambuzi wako ni mwepesi sana wala hauna mashiko yoyote utakayoyashuhudia chadema hutaamini.
 
Kama ikulu ya tz ni nyumba ya mzee mtei chadema itaiona ikulu 2015 la sivyo mtapaki kupayukapayuka tu,binafsi bado sijaona upinzan wa kutisha tz,nendeni kwa Odinga akawafundishe namna ya kujenga upinzani imara.Si kuwa tu na kikundi cha wahuni na kusema tunaingia ikulu.Poleni sana mnaofuata mkumbo wa chama cha SACCOS cha akina mbowe,mtei na ndesamburo na herukopta zao za kiumaskini.

wewe unajiita mwalimu una kipato gani hata fedha ya kuwatumia wazazi wako kijijini umeshindwa na hata baiskeli huna unasema mbowe na mtei wana herikopta za kimaskini nadhani umeshiba kiporo chako unatafuta sehemu ya kupumulia.una ubongo wa panzi
 
cbandiho;

Km umeshindwa kuchambua kitu kidogo sana,hakika bichwa yako imejaa uharo tu....kuna haja gani ya kusema mimi sio CHADEMA? Hujasema kua chadema inaimarikaje badala unatapika mashudu tu,je imeingiza wanachama wangapi na wametoka wangapi! Hujasema badala yake unaleta maneno ya hisia tu....leta vivid statistical data ili tuone km CHADEMA inakua,au inadumaa au iko constant yaani haiingz wala haipotezi.
Wakati najiuunga Jf CHADEMA ilikua ndo mungu wa humu,kila thread ilikua inasifia CHADEMA lakin saiv post za kuishadidia CHADEMA zimepungua kabisa,CHADEMA jipangane wazee

Unaongozwa na jf kuijua CDM au unaongozwa na buku7
 
Last edited by a moderator:
Utabiri wangu ni kuwa Chadema kitaendelea kupigwa vita sana kwa kutumia silaha zote kadri tunavyoelekea uchaguzi mkuu. Mbinu za kukigawa zitatumika na hata kuwapa fedha wapinzani wake. Mbinu zote za kuwakatisha tamaa Wanachama wake zitatumika. Chadema kitaendelea kuimarika japo kampeni kubwa dhidi yake itakuwa ikiendelea. Watu wengi watazidi kukiunga mkono hasa watakapoona kuwa kinapigwa vita ya waziwazi. Uchaguzi ujao kama mazingaira yatakuwa sawa, tume huru na haki, na kuzuia kila uchakachuaji, Chadema kitashinda.
 
Wote mnambwela mbwela Tu, hakuna cha ccm, wala chadema wala sijui chama gani ambacho kinaweza kumbadilishia mtanzania maisha, wote Ni wezi Tu, fighting for their own benefits! Binafsi sina imani na chama chochote cha siasa na sitegemei kucja kupiga kura!


mbw.a wewe
 
Kumekuwepo mjadala mpana kuhusu mwenendo wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA, kunawanaoamini kuwa kitakufa hivi karibun na wengine wanaamini kinapitia wakati mugumu na hakitakuwa na mazingira mazuri katika uchaguiz ujao.

Majibu yote yanaweza kuwa sawa lakini si sahihi, wanajanvi jibu hili ndo sahihi, CHADEMA kinaimarka mpaka kufkia uchaguzi kitakuwa tishio kubwa sana kwa CCM ,nasema hivi kwa sababu naamini CHADEMA kitatumia tulufu ya chaguzi na harakati zingne kufanya mabadiliko na mapinduzi ya siasa.

Misukosuko inayojitokeza ni sehemu ya wao kujipima na kujijenga, bado hakuna chama mbadala wa CHADEMA, ACT na vyama vingine vinavyodhaniwa vinaweza kuleta mapinduzi katika siasa haviweiz kutishia CHADEMA bali vitazidi kuimalza CCM.

Wanajanvi naomba urabiri wangu muuhifadhi mpaka mwaka ujao, iwe ni ushahidi kwenu ambao hamuamin,CHADEMA INAINGIA IKULU MDA NDO HUU, MIMI SI MWANACHADEMA TAFADHALI LAKINI HUO NDO UKWELI

Umemaliza? Haya kawahi mgao wa tindikali kwa Mbowe.
 
Back
Top Bottom