Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,521
- 42,659
na ccm wana ndoto za abunuwasi
Sawa mmarangu endelea kupigania ukombozi wa wanamarangu
na ccm wana ndoto za abunuwasi
Sawa mmarangu endelea kupigania ukombozi wa wanamarangu
Wakubwa zako wakiongea kaa kando...
Watanzania kwa ujumla akina nani?
Mi binafsi nshakombolewa na sihitaji ukombozi wa kikabila kama mmaranguoriginal
hujapewa kichwa chenye nywele tu ni pamoja na kufikiri maisha ya kupewa buku 7 yamekupumbaza akili
Naona unatafuta ban ya pili coz huna cha maana unachoandika...
Too silly...
Naona unatafuta ban ya pili coz huna cha maana unachoandika...
Too silly...
too silly is that all you can say,nchi inaporwa na majangili wa ccm wakishirikiana na wachina ,mnauza sembe kila mahali,mmepora bilioni 480 hazin mmeka kimya,ufisadi kila mahali kwenye ofisi za umma wakati hakuna madawa hospitali,vitabu na maabara mashuleni hakuna halafu unadiriki kusema umekombelewa
Mauwaji ya Olasiti....Soweto utekaji wa ulimboka utesaji wa Kibanda na Kubenea si ujangili?
Laana na Damu za watu zinazowalilia ndo kitafanya hicho chama kife kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015...
Sawa mmarangu endelea kupigania ukombozi wa wanamarangu