Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Heheheheh
Hata Haya Yavisima Yashapoa Vile Vile Maana Kama Wangekua Wafanyaji Sasa hv Kungelikua hakukaliki Mashariki Yakati


Kiufupi Jamaa Zako US Hawajiamini Kuingia Mzigoni Na WAAJEMI
 
kwa hiyo kwa akili yako unadhani, Russia ata risk kuingia kwenye vita na Marekani kisa Iran? unajua gharama ya kuingia kwenye vita hiyo, Russia ni mjinga wa kuingia kwenye vita na nchi yenye jeshi na uchumi mkubwa zaidi duniani kwa ajili ya Iran? hahaa
 
Wana subiri nini kumchapa huyo mdhaifu Iran kweli ndie anayefadhili inajulikana!!
Unahisi atachapwa lini? 🤔
 
Mjomba hakuna Vita kupiga Iran ni kuifanya Saudi Arabia ianze tena moja maana mizigo itakayo shuka hapo itakuwa tambarare!
 
Wana subiri nini kumchapa huyo mdhaifu Iran kweli ndie anayefadhili inajulikana!!
Unahisi atachapwa lini? 🤔
kumchapa sio ishu, ishu ni baada ya kumchapa itakuaje? Iran isije kuishia kuwa failed state nyingine tena
 
kwa akili za irani hawachelewi hata kuwapa waasi wa houth bomu la nyuklia waipige saudia au wakawapa hezzbulla waipige israeli maana jamaa hana cha kupoteza wala hajali chochote
Wewe unaichukulia Israel kama Yemen. Umesahau alivyowaua wanasayansi wa Iran na kulipua vinu vyao vya nyuklia. Akigonga Israel wanampasua hata bila ya msaada wa USA
 
Jiulize why USA is undecisive ?
Kwanza ujue ni kuwa Trump alichaguliwa na kundi kubwa la watu wasipenda vita na uchaguzi wa term ya pili unakaribia, lakini pia vita vikitokea huenda Iran akashambulia nchi jirani ambazo ni washirika wa USA. Nje ya hapa ni kuwa pamoja na support ya Urusi na China bado hawezi mtikisa Mmarekani, shida ndio hiyo hatashinda na wala hatakubali afe mwenyewe.
 
Ni hivi hivi mlimpamba Gaddafi mwisho wa siku wakamuua kama panya
 
Kweli unaweza fananisha Gaddafi mnunuwa silaha na Iran mtengeneza silaha za kisasa kabisa na za high tech au mjomba huijuwi iran?
Kununua silaha siyo shida hata marekani hununua silaha, shida ni silaha gani unatengeneza, high tech zaidi ya kumshinda mmarekani? Iran anasaidiwa kisirisiri na Mrusi, Mchina na Korea Kaskazini na hawawezi kumpa technolojia yote, usidanganye Iran siyo super power.
 
Sawa kabisa mkuu je umewaza Saudi Arabia itabakia katika Hali gani au Iran wana manati tu!
USA, Israel, Saudia, UAE, Kuwait na washirika wengine wa kiarabu wakiamua kumfanyia shambulio la kushtukiza Iran watampoteza kabla hata hajaweza kujibu mkuu, sema vita sio kama unawinda ndege, kuna madhara mengine mengi ambayo hayatabiriki yanaweza kujitokeza hata kama umemshinda adui
Sema Iran akiendelea na provocation nadhani hilo halitaangaliwa tena
 
hakuna waku anazisha Vita na Irani mkuu
Siku wakianzisha nitafute nikupe zawadi mkuu ata kama ni 10GB
 
kumchapa sio ishu, ishu ni baada ya kumchapa itakuaje? Iran isije kuishia kuwa failed state nyingine tena
Kwahio Toka Mwaka 1979 Mpaka sasa Mwaka 2019

Hawajajua itakuaje baada ya Kumchapa ?!

Kwahio Kwa Concepts Hii Niwazi Yakwamba Hakuna Vita Kwakati Huu Mpaka watakapokuja Kujua Atakaa Nani Baada ya Kumchapa


Miaka Mengine 40 Hioooo
 
DUUUH
Wewe unaichukulia Israel kama Yemen. Umesahau alivyowaua wanasayansi wa Iran na kulipua vinu vyao vya nyuklia. Akigonga Israel wanampasua hata bila ya msaada wa USA
Aligonga Vinu Vya Nyuklia Vya TEHRAN Mwaka Gani Na Kwkautumia nn ?!


Ama hizi habari unazo wewe tuu MKUU ?!

ISRAEL Hawana Tofauti Na SAUDI ARABUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…