Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Saudi Arabia inajiaibisha sana eti waziri wa ulinzi wa nchi unakaa mbele ya television unalialia eti Iran ametushambulia huku ukionesha mabaki ya silaha hii ni aibu kubwa sana.
Kama waziri wa ulinzi unalialia wananchi wa kawaida wafanyaje??
 
Hakuna Vita Mkuu! Hakuna Taifa kwasasa linalotaka kuingia na Iran ni kweli Aya mashambulizi yanamafungamano na Iran ata zile tanker za mafuta zilizokua zinakipuliwa ni Iran ila nani wa kumfunga paka kengere? US hana hamu na vita na Iran kwan anajua jamaa wamejiandaa miaka kenda hao Waarabu wanamuogopa muIran na wanamsukumia mzigo US ndo wawe nyuma yao! US walisha prove kua zile drone na cruise missile ni Iranian made and were lunched from south-North of Iran na wao Saud wameonesha mpaka na mabaki wakisema hizi ni Silaha za Iran na Trum since day one alisema anasubiria Saud wathibitishe ndo nae alipize...Leo Secretary Pompeo yuko UAE akitafuta coalition ya diplomasia wakati waziri wa mambo ya Nje wa Iran kasema jaribio lolote la kulipiza liwe la US au Saudi wenyewe watajibu kwa vita kamili Pompeo akanywea
 
Ni rahisi sana.

Vikwazo alivyowekewa Iran na Marekani vinaathiri nchi na wananchi kwa ujumla...mahitaj muhim kwa wananchi yamekata

Iran alishinikiza jumuia za kimataifa ikiwemo nchi kubwa za ulaya kuishawishi marekani iondoe vikwazo..Jumuia hazijarespond chochote

Hivyo Iran kaamua atumie mbinu ya "kipumbavu" ya tukose wote..

Kulipua visima vya oil na mafuta matokeo yake ni dunia kutetereka..

Iran imeona hilo pengine linaweza shawishi wakubwa kuzungumza na Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya nchi yake.

Tusubiri matokeo ya alichokifanya Iran

Marekani keshatangaza kukaza uzi zaidi kwenye vikwazo baada ya shambulizi la Iran

NB: Hakuna vita ya Marekani na Iran...ni mwendo wa sanctions tu
 
Dogo unaishi dunia gani? Hakuna vita na mafuta yatashuka bei kabla ya mwezi kuisha, Saudia wanasema uzalishaji utarudi hati hali yake ya kawaida kabla mwezi 9 haujaisha
 
kwa akili za irani hawachelewi hata kuwapa waasi wa houth bomu la nyuklia waipige saudia au wakawapa hezzbulla waipige israeli maana jamaa hana cha kupoteza wala hajali chochote
 
US Ndio kashamaliza Hapa No WAR
 
No WAR MKUU
 
NB: Hakuna vita ya Marekani na Iran...ni mwendo wa sanctions tu



Well said
 
kwa akili za irani hawachelewi hata kuwapa waasi wa houth bomu la nyuklia waipige saudia au wakawapa hezzbulla waipige israeli maana jamaa hana cha kupoteza wala hajali chochote
Sio Mbaya Lkn Wawape 2
 
Ndugu yangu Iran ni taifa lenye uwezo mkubwa sana na ndio maana huyo marekani ana sita kwa sababu anajua madhara ya kuingia vitani na Iran.
Kwahiyo we we usijifanye una akili kuliko viongozi wa Marekani.
Marekani hataki vita na Iran wala Saudia hataki vita, hakuna mtu mwenye akili anayetaka vita, ila kwa uchokozi anaoufanya Iran sasa utawafaya washindwe kuvumilia, anapigwa tu,
Iran pale mashariki ya Kati yupo na Qatar tu peke yake, Saudia, Israel, Marekani, UAE na wengine wote wakiungana Iran anamalizwa mapema tu
 
Kwanza China na Russia wakiingia direct kwenye vita basi NATO yote itaingia kwenye hiyo vita, itakuwa ni WW3 na China sio mjinga kiasi hicho ku risk vita kubwa hivyo kisa eti Iran
 
Yeah hapo ndio tatizo, ishu sio kumpiga na kumuondoa Ayatollah, ishu ni ukishamuondoa itakuaje? itakuwa vurugu tupu tena kama Iraq, Afghanstan, Libya
 
IRAN Kafanya uchokozi upi na kamfanzia nani mkuu ?!
 
Yeah hapo ndio tatizo, ishu sio kumpiga na kumuondoa Ayatollah, ishu ni ukishamuondoa itakuaje? itakuwa vurugu tupu tena kama Iraq, Afghanstan, Libya
Nahii pia sio Ishu Kwao Nakama Ingekua Ishu wala wasingeyafabya wanayoyafanya SYRIA Ss Hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…