Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

Kwa kadri ambavyo hunielezi maana ya hilo neno na kunisisitizia niulize watu au ni Google, ndivyo ninavyoogopa kulitafuta, siulizi mtu na wala si google!, maana kuna maneno mengine ni ya kishetani yana majini ndani yake, ile umegoogle tuu!, mara pap!, unalo!.

Siwezi kabisa kuwasahau watu wa DTV, walioni transforms kutoka mtangazaji wa redio kuwa mtangazaji wa TV. Watu wa DTV niliowasahau ni Hamid Abrahaman, Baba Dodi, Anwar Said na Agustino Mganga. Betty Mkwasa, Ahmed Kipozi na Karim Besta ndio waliita kutoka RTD kuja DTV na kupokelewa na Godfrey Mngodo.

Naona unaleta janja ya Mwanameka kujipitisha pitisha kwa Musa, akenda sokoni lazima apite kwa Musa, akenda dukani kwa Musa, Musa macho yake yameona na moyo ukaanza soneneka, Musa amevumilia mwisho kupotea njia, kakukismamisha bila kutambua akazungumza neno la ...

Hili ni bandiko la 2011, hayo niliyarleza 2011, iweje unayaulizia leo 2023?.
P
Kwa hiyo kama la mwaka 2011 sio lako?


Unajifanya umemsahau mjanja wako wa dtv? Marehem EK.
 
Sheikh mimi sijakuelewa nini kilichofichwa?

Nyerere alipokelewa hapa Dar es salaam na wenyeji (ambao obviously wengi wakiwa waislamu kwa sababu za kihistoria zaidi) na akshirikiana nao mpaka Uhuru ulipopatikana..ukisoma kuundwa kwa TAA kunaonyesha wapi Nyerere alitoka na kina nani walimsaidia,embu niambie nini lichofichwa mzee?

Na kwa hiyo nini unashauri sasa kama madai yako ni ya kweli.
Waliompkea ni wote ni Waislam, siyo "wengi". Wakristo akatanbulishhwa nao baadae kidogo.
 
Kuna kitu nakitafuta nakaribia kukipata Sasa.
Mana historia waliifanyia mapinduzi kinyemela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom