Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,164
- 30,504
Huyu mkongomani ni mchonganishi na msaka tonge kama yule mrundi mwenzake Khalifa Hamis. Ni bahati mbaya hata hao waarabu wenzao wanawaunga mkono katika uchonganishi wao wasijue kikinuka wana kwao pa kwendaKITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA.
Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla.
Kitu kinachojitokeza kwa haraka na wazi katika vitabu hivi ni kuwa hivi si vitabu vya kawaida.
Hivi vyote ni vitabu vya kuogofya.
Hivi ni vitabu vya kutisha.
Si vitabu utakachosoma na moyo wako ukawa umetulia.
Hivi ni vitabu unasoma na moyo ukabadilisha mapigo ukawa unadunda kwa haraka.
Hivi ni vitabu vilivyojaa simanzi kila ukurasa unaopindua.
Vitabu vya aina hii si vyepesi kuviandikia pitio ingawa pitio limeandikwa lipo.
Kuna msomaji mmoja alisoma pitio langu la moja ya vitabu hivi vinavyotisha.
Kamaliza pitio langu hakukuta maelezo ya kitabu kinasema nini.
Kahamaki akaniandikia, "Hivi vitisho vya nini tueleze mwandishi kaandika nini?"
Tayari nilikuwa nishawaweleza wasomaji kuwa wasome kitabu waone wenyewe yaliyomo ndani ya kitabu hicho.
Lakini kinyume na wasomaji waandishi wa vitabu hivi wote wameniandikia kunishukuru kwa kufanya pitio la kitabu chake na kuniambia kuwa nimetenda haki kwa kalamu zao.
Ninachoweza kusema kuhusu kitabu hiki cha Sheikh Ponda, "Waliopotezwa Tanzania," ni kuwa kitabu hiki kinatisha sana.
Swali linalozunguka akilini kwangu ni imekuwaje kuwa Tanzania vitabu vyake muhimu kutoka kwa baadhi ya waandishi wake vimekuwa vitabu kurasa zake zinachuruzika damu?
Kitabu hiki kinauzwa Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue na maduka ya vitabu ya Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Manyema, Mtoro na Mtambani.
Bei ya kitabu ni T. Shs: 10,000.00.
Masta...As-salamu alaykum mzee wangu Mohamed Said nje ya mada kidogo, unalichukuliaje suala la bandari ya DSM? Mchango wako ni muhimu
Father...Huyu mkongomani ni mchonganishi na msaka tonge kama yule mrundi mwenzake Khalifa Hamis. Ni bahati mbaya hata hao waarabu wenzao wanawaunga mkono katika uchonganishi wao wasijue kikinuka wana kwao pa kwenda
Mchawi af kumKITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA.
Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla.
Kitu kinachojitokeza kwa haraka na wazi katika vitabu hivi ni kuwa hivi si vitabu vya kawaida.
Hivi vyote ni vitabu vya kuogofya.
Hivi ni vitabu vya kutisha.
Si vitabu utakachosoma na moyo wako ukawa umetulia.
Hivi ni vitabu unasoma na moyo ukabadilisha mapigo ukawa unadunda kwa haraka.
Hivi ni vitabu vilivyojaa simanzi kila ukurasa unaopindua.
Vitabu vya aina hii si vyepesi kuviandikia pitio ingawa pitio limeandikwa lipo.
Kuna msomaji mmoja alisoma pitio langu la moja ya vitabu hivi vinavyotisha.
Kamaliza pitio langu hakukuta maelezo ya kitabu kinasema nini.
Kahamaki akaniandikia, "Hivi vitisho vya nini tueleze mwandishi kaandika nini?"
Tayari nilikuwa nishawaweleza wasomaji kuwa wasome kitabu waone wenyewe yaliyomo ndani ya kitabu hicho.
Lakini kinyume na wasomaji waandishi wa vitabu hivi wote wameniandikia kunishukuru kwa kufanya pitio la kitabu chake na kuniambia kuwa nimetenda haki kwa kalamu zao.
Ninachoweza kusema kuhusu kitabu hiki cha Sheikh Ponda, "Waliopotezwa Tanzania," ni kuwa kitabu hiki kinatisha sana.
Swali linalozunguka akilini kwangu ni imekuwaje kuwa Tanzania vitabu vyake muhimu kutoka kwa baadhi ya waandishi wake vimekuwa vitabu kurasa zake zinachuruzika damu?
Kitabu hiki kinauzwa Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue na maduka ya vitabu ya Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Manyema, Mtoro na Mtambani.
Bei ya kitabu ni T. Shs: 10,000.00.
Alafu Huwa anaibuka juu pakiwa na itikadi yake. Anapata nguvu sana huyu mwamba.Huyu mkongomani ni mchonganishi na msaka tonge kama yule mrundi mwenzake Khalifa Hamis. Ni bahati mbaya hata hao waarabu wenzao wanawaunga mkono katika uchonganishi wao wasijue kikinuka wana kwao pa kwenda
As-salamu alaykum mzee wangu Mohamed Said nje ya mada kidogo, unalichukuliaje suala la bandari ya DSM? Mchango wako ni muhimu
Jabulani,
Jabulani,Wacongo waliouzwa Zanzibar leo wanataka Tanganyika iuzwe kwa waarabu, waafrika bila umoja hatutatoboa
Wakongo gani waliouzwa Zanzibar?Wacongo waliouzwa Zanzibar leo wanataka Tanganyika iuzwe kwa waarabu, waafrika bila umoja hatutoboi
Heshimu watu, kama wanakugusa kupitia misimamo yao fanya yakoHuyu mkongomani ni mchonganishi na msaka tonge kama yule mrundi mwenzake Khalifa Hamis. Ni bahati mbaya hata hao waarabu wenzao wanawaunga mkono katika uchonganishi wao wasijue kikinuka wana kwao pa kwenda
Maalim nimekupata vizuri watanganyika tumekuwa mazoba wazanzibari wanatupelekesha watakavyoJabulani,
Nakuwekea hapo chini Ok Jazz mapema 1960s enzi za akina Eddo.
Akiwa mtu mkongomani alafu tena mrundi akawa mwenzake vipi? wewe utakuwa ndo wale wale wanyarwandaHuyu mkongomani ni mchonganishi na msaka tonge kama yule mrundi mwenzake Khalifa Hamis. Ni bahati mbaya hata hao waarabu wenzao wanawaunga mkono katika uchonganishi wao wasijue kikinuka wana kwao pa kwenda