Kitabu kipya cha riwaya ya kiswahili.

LACK

Senior Member
Aug 1, 2013
129
43
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimetunga kitabu cha riwaya ya Kiswahili. kinaitwa 'Hii ni Dunia' ninaomba mawazo yenu namna ya kuchapisha kitabu hicho na namna ninavyoweza kupata udhamini juu ya uchapishaji wa kitabu hicho. ni kitabu kizuri chenye mafunzo ya muhimu kwa jamii yetu.
 
kwanza tuma hii taarifa katika jukwa la lugha, vilevile, tafuta hati miliki,au nenda kwa wachapishaji watakupa kila kitu. kumbuka kiwe kimehaririwa, umesema we ni mwanachuo, peleka katika kitengo cha lugha kihaririwe.
 
Back
Top Bottom