Afanye nini kupata cheti kipya ni cha chuo?

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
108
Habari Wana JF,

Nina rafiki yangu amemaliza chuo kikuu mwaka juzi sasa mwezi uliopita kwa bahati mbaya mvua ikinyesha akiwa yupo miangaikoni begi analowekea nguo na vitu vya muhimu akakuta limeloa ivyo ikapelekea cheti chake cha chuo kuloa na kuharibika na vilevile kusababisha bahadhi ya masomo kutokuonekana yaan yamefutika. Swali: Je, afanye nini kupata kipya ni chachuo tu vingine aliwekea lamination. Chuo ni SAUT Mwanza.

Asanteni sana
 
Awasaliane na Dean of students Wa chuo atapewa mwongozo
 
Habari Wana JF,

Nina rafiki yangu amemaliza chuo kikuu mwaka juzi sasa mwezi uliopita kwa bahati mbaya mvua ikinyesha akiwa yupo miangaikoni begi analowekea nguo na vitu vya muhimu akakuta limeloa ivyo ikapelekea cheti chake cha chuo kuloa na kuharibika na vilevile kusababisha bahadhi ya masomo kutokuonekana yaan yamefutika. Swali: Je, afanye nini kupata kipya ni chachuo tu vingine aliwekea lamination. Chuo ni SAUT Mwanza.

Asanteni sana
Dah!, inasikitisha huyu ni graduate ameshindwa ku solve hili swala.

Je, ni elimu yetu tatizo au wahitimu wetu ni wavivu kufikiri?
 
Cheti Cha chuo akina shida anapata Kwa uzoefu wa chuo changu kunafomu unajaza utaambatanisha na certified ya vyeti watakavyokuambia then watakupa control number utalipia ten baada ya malipo unapewa gamba lako hata ukitaka viwe kumi watakupa Cha msingi wao wanataka maokoto tu
 
Dah!, inasikitisha huyu ni graduate ameshindwa ku solve hili swala.

Je, ni elimu yetu tatizo au wahitimu wetu ni wavivu kufikiri?
Great thinker

Umejitahidi kumdhalilisha au kujidhalilisha. Mpaka amemaliza chuo kikuu hana akili ya kujua cheti chake kikiharibika anafanyaje?

Au ni kile chuo cha mtaani,aliyempatia siku hizi hajulikani alikoenda!!!!
 
Aende Chuoni, watampa Miongozo.

ASISAHAU KUBEBE NA PESA MAANA HAKUNA CHA BURE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Aende chuoni wampe utaratibu. Kama ni kupata cheti kipya lazima kuna kiasi atalipia pia awe na loss report aandae nakala ya cheti cha kuzaliwa na form four, passport size.
 
Wewe ni mkamilifu kwa mambo yote Chief? Au ni vile nyani haoni Kundule
Yaani graduate wa chuo kikuu aulize hili swali na wewe unaona ni sawa kweli?.

Mimi sio mkamilifu na pia mimi sio mvivu wa kufikiri.

Vijana tunazingia sana hili taifa, hii ni aibu hadi kwa hicho chuo cha SAUT, kwa kutoa mhitimu wa hivi.

Embu jiulize huyu mtu alifanyaje research yake chuo iliyompatia hicho cheti?
 
Great thinker

Umejitahidi kumdhalilisha au kujidhalilisha. Mpaka amemaliza chuo kikuu hana akili ya kujua cheti chake kikiharibika anafanyaje?

Au ni kile chuo cha mtaani,aliyempatia siku hizi hajulikani alikoenda!!!!
Inasikitisha sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom