Kitabu kipi kimebadilisha maisha yako?

Kitabu kipi kimebadilisha maisha yako?

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,383
Reaction score
2,586
Wakuu nawasalimu;

Nafahamu humu kuna wasomaji wakubwa wa vitabu. Na ni ukweli kuwa vitabu vina maarifa mengi Sana yanayoweza kabisa kubadili maisha ya mtu. Hivyo basi naomba tuweke hapa vitabu vilivyobadili maisha yetu. Mimi naanza na " The power of subconscious mind " by Dr Joseph Murphy.
 
The Final Testament.

Qur'an
 
Biblia
 
No any one. My life have not changed yet.
 
The Rare Book with Rarely Holly Scriptures in it..
Some peoples in 6th Century tried to C&P it, they ended up with writing non sense n shits.

U can call it in any name yo wanna but The Almighty know it as "The Holly Book"
 
Alimaanisha hii hapa Bi mkubwa[emoji116][emoji116]
Screenshot_20190925-231908.jpeg
 
Back
Top Bottom