Kitabu kipi kimebadilisha maisha yako?

Kitabu kipi kimebadilisha maisha yako?

kitabu bora kabisa
Screenshot_20190926-114424.jpeg
 
Mimi changu ni Kitabu cha Bible kilichoandikwa na Jesus Christ of Nazareth.
Sina uhakika kama Yesu aliandika kitabu. Habari za Yesu zimeandikwa na waandiashi kama kina Mathayo, Màrko, na Luka.
 
You are so great man.
I may answer this Question based on multiple angles.

1. Spiritual
- Qur'an
-Tafsir Ibn Kathir
- Saheehayn(Bukhar And Muslim )
-Bulugh and Riyadh


2. Social
- Talk your way to the Top
- How to Win Friends and Influence people
- How to listen Better

3. Emotional and Motivational
- The Power of Subconscious Mind
- The Secret
- Think and Grow Rich

4. Financial
- The Richest man in Babylon,
(This my Financial Advisor ever.)

Idriss Quotes
 
QUR'AAN NI KITABU PEKEE KITAKUTOA KWENYE GIZA NA KUKUPELEKA KWENYE NUUR. sina kitabu ninacho soma ila ni qur'aan kimebadilisha maisha yangu yote elimu yangu ya darasa la saba lakini ninaishi utafikiri nina viwanda allah mkubwa kila nikisoma nikiomba nafanikiwa mpaka nilimwambia mwanangu soma sana kitabu hiki mambo yako huko shule na sehemu yoyote utafanikiwa alikuja akaniambia baba kweli nimefanikiwa kwa kila ninaposoma na kuomba. atakae amini na aamin na atakaepinga na apinge nyie kaeni mnasoma vitabu vya kina profesar wa ulaha na marekani mnaambiwa binadamu wa kwanza alianza kama nyani na mwingine anasema binadamu wa kwanza alikuwa akiishi tanzania oldvai
 
Back
Top Bottom