Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

1: Catch me if you can
Kinazungumzia maisha ya tapeli mkubwa kupata kutokea Mr. Abagnale

2: Question and Answers
Kinazungumzia kijana aliyeweza kujibu maswali yote kwa usahihi katika shindano akakamatwa na askari ili kujua alijuaje majibu yote.

3: Accidental apprentice
Tajiri mkubwa anampa mitihani msichana ili akifaulu amrithishe kampuni yake.

4: Six suspects
Mtoto wa tajiri mkubwa anamuua msichana klabu baada ya msichana kugoma kumuuzia bia muda wa klabu kufungwa huyu mtoto mahakama inamkuta hana hatia lakini siku ya kushereheka kuachiwa na yeye anauawa, msako wa mle ndani unakamata watu sita wakiwa na bunduki kila mmoja akiwa na sababu zake.

5: The appeal
Kampuni kubwa inachangia familia nyingi kupata magonjwa ya kansa, inafikishwa mahakamani na kuamriwa kumlipa mwathirika mmoja kwa kuhofia kumlipa yule kutawaleta wengine wanakata rufaa.

6: The lost girls
Wakili anarudi mkoa aliowahi kuishi utotoni ili kumtetea mwanaume anayetuhumiwa kuua binti wa eneo hilo.

7: Yellow kid weil autobiography
Inazungumzia maisha ya tapeli mkubwa anayesemekana kuiba karibia 8m $.

8: Memoirs of Rakehell
Inazungumzia adventures za kijana wa kizungu enzi za zama za Victoria.

Mkuu naomba unitumie na mimi some copies maana list yako yote inaonekana ipo poa, nitume vyovyote utakavyo weza mana vyote ni vizur rahmanjeje2010@gmail.com
 
Nasoma story yangu pendwa. The animal farm!
 
Mkuu nimejaribu ku-upload pdf inanigomea. (Natumia app ya JF)kama inawezekana naomba email yako mkuu nikutumie.
Download app ya tapatalk ina support forum mbali mbali na jf imo,itakuwezesha ku-upload kirahisi,
 
1: Catch me if you can
Kinazungumzia maisha ya tapeli mkubwa kupata kutokea Mr. Abagnale

2: Question and Answers
Kinazungumzia kijana aliyeweza kujibu maswali yote kwa usahihi katika shindano akakamatwa na askari ili kujua alijuaje majibu yote.

3: Accidental apprentice
Tajiri mkubwa anampa mitihani msichana ili akifaulu amrithishe kampuni yake.

4: Six suspects
Mtoto wa tajiri mkubwa anamuua msichana klabu baada ya msichana kugoma kumuuzia bia muda wa klabu kufungwa huyu mtoto mahakama inamkuta hana hatia lakini siku ya kushereheka kuachiwa na yeye anauawa, msako wa mle ndani unakamata watu sita wakiwa na bunduki kila mmoja akiwa na sababu zake.

5: The appeal
Kampuni kubwa inachangia familia nyingi kupata magonjwa ya kansa, inafikishwa mahakamani na kuamriwa kumlipa mwathirika mmoja kwa kuhofia kumlipa yule kutawaleta wengine wanakata rufaa.

6: The lost girls
Wakili anarudi mkoa aliowahi kuishi utotoni ili kumtetea mwanaume anayetuhumiwa kuua binti wa eneo hilo.

7: Yellow kid weil autobiography
Inazungumzia maisha ya tapeli mkubwa anayesemekana kuiba karibia 8m $.

8: Memoirs of Rakehell
Inazungumzia adventures za kijana wa kizungu enzi za zama za Victoria.
Kaka naomba unitumie natumia [HASHTAG]#fadhilimatanji091[/HASHTAG] gmail.com
 
Mkuu naomba nitumie na mm hapa nassornassor20@hotmail.com .thanks in advance
 
Mlio tumiwa vitabu tuwekeeni na sisi hapa jamvini
 
Back
Top Bottom