Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

Kwa leo nashauri hivi viwili:

1. We Need New Names by NoViolet Bulawayo - kinachekesha sana na pia kina uhalisia wa hali ya juu.Hutaacha kufananisha maisha yako na ya muhusika mkuu.

2. A Long Way Gone by Ishmael Beah - utaelewa umuhimu wa amani tuliyonayo leo hii.
Nimejaribu kuvitafuta ili ni download imeshindikana, waweza kunitumia link?
 
1: Catch me if you can
Kinazungumzia maisha ya tapeli mkubwa kupata kutokea Mr. Abagnale

2: Question and Answers
Kinazungumzia kijana aliyeweza kujibu maswali yote kwa usahihi katika shindano akakamatwa na askari ili kujua alijuaje majibu yote.

3: Accidental apprentice
Tajiri mkubwa anampa mitihani msichana ili akifaulu amrithishe kampuni yake.

4: Six suspects
Mtoto wa tajiri mkubwa anamuua msichana klabu baada ya msichana kugoma kumuuzia bia muda wa klabu kufungwa huyu mtoto mahakama inamkuta hana hatia lakini siku ya kushereheka kuachiwa na yeye anauawa, msako wa mle ndani unakamata watu sita wakiwa na bunduki kila mmoja akiwa na sababu zake.

5: The appeal
Kampuni kubwa inachangia familia nyingi kupata magonjwa ya kansa, inafikishwa mahakamani na kuamriwa kumlipa mwathirika mmoja kwa kuhofia kumlipa yule kutawaleta wengine wanakata rufaa.

6: The lost girls
Wakili anarudi mkoa aliowahi kuishi utotoni ili kumtetea mwanaume anayetuhumiwa kuua binti wa eneo hilo.

7: Yellow kid weil autobiography
Inazungumzia maisha ya tapeli mkubwa anayesemekana kuiba karibia 8m $.

8: Memoirs of Rakehell
Inazungumzia adventures za kijana wa kizungu enzi za zama za Victoria.
Kuna Application ya kupakulia Android au alternative yoyote ya kuvipata in soft copies? I wish to read them
 
Kuna Application ya kupakulia Android au alternative yoyote ya kuvipata in soft copies? I wish to read them
Nilivikuta online isipokua lost girls na the Appeal hivi niliviazima sehemu.
 
Nagona by E .kizilahabi,kosa la bwana msa ,almas bandia by s.chachage pambo by prof .p.mhando na na msomi aliye binafsishwa
 
1: Catch me if you can
Kinazungumzia maisha ya tapeli mkubwa kupata kutokea Mr. Abagnale

2: Question and Answers
Kinazungumzia kijana aliyeweza kujibu maswali yote kwa usahihi katika shindano akakamatwa na askari ili kujua alijuaje majibu yote.

3: Accidental apprentice
Tajiri mkubwa anampa mitihani msichana ili akifaulu amrithishe kampuni yake.

4: Six suspects
Mtoto wa tajiri mkubwa anamuua msichana klabu baada ya msichana kugoma kumuuzia bia muda wa klabu kufungwa huyu mtoto mahakama inamkuta hana hatia lakini siku ya kushereheka kuachiwa na yeye anauawa, msako wa mle ndani unakamata watu sita wakiwa na bunduki kila mmoja akiwa na sababu zake.

5: The appeal
Kampuni kubwa inachangia familia nyingi kupata magonjwa ya kansa, inafikishwa mahakamani na kuamriwa kumlipa mwathirika mmoja kwa kuhofia kumlipa yule kutawaleta wengine wanakata rufaa.

6: The lost girls
Wakili anarudi mkoa aliowahi kuishi utotoni ili kumtetea mwanaume anayetuhumiwa kuua binti wa eneo hilo.

7: Yellow kid weil autobiography
Inazungumzia maisha ya tapeli mkubwa anayesemekana kuiba karibia 8m $.

8: Memoirs of Rakehell
Inazungumzia adventures za kijana wa kizungu enzi za zama za Victoria.
Nisaidiee kuvipata mkuu
 
Nimekutumia boss, samahani utakuta list nyingine hukuiomba hiyo ni kwa sababu nimeforward email ambayo ilitakiwa kwenda kwa mdau mwingine.
Naomba nitumie [USER=35321]yahoo.com[/USER]
 
Huu mwaka nilikuwa busy sana ila nimefanikiwa kusoma vichache
1: The purposeful driven life by Rick Warren
2: Saikolojia ya mwanadamu
3: Retire young,
 
soma YOU CAN WORK YOUR OWN MIRACLES....By Napoleon Hill
 
DEVIL ON THE CROSS(SHETANI MSALABANI)-NG‘UGI WA THIO‘NGO.....nacho kinafungua akili
 
Understanding the Power of Praise.... written By David Oyedepo
 
Back
Top Bottom