A brief History of Human kind,Sapiens by Yovah Noah Harari.
Hiki kitabu ningependa watu wengi wakisome kipo vizuri sana.
Noah harari ameelezea kwa uzuri kabisa historia ya binadamu (sisi)"Homo sapiens"mpaka hapa tulipo na wapi walau tunapatazamia na anakuweka katika namna mpya ya kufikiri.
Kitabu kimeelezea njisi homo sapiens alivyoweza kutawala Mazingira nyakati hizo na pia kupotea kwa human specie "Neanderthals" ambayo ilikuwa na nguvu ubongo mkubwa kuliko Homo sapiens(binadamu"sisi").
Homo sapiens walianzia East Africa na kusambaa mpaka middle East.
Kitabu kinaelezea Revolutions tatu.
The cognitive revolution
The Agricultural revolution.
The scientific Revolution.
Ambazo kwa kiasi kikubwa zimeshape historia ya Sapiens(sisi).
Kitabu kitakujuza Mambo mengi Hammarudi codes Babylon Empire,Gautama buddha,Historia ya gunpowder,Imaginations- Money,Coins,Nations,Humans rigth,n.k
Mfano katika sehemu Happiness katika kitabu hiki.
Chemical Happiness, inasemekana katika tafiti Kuna watu wana cheerful biochemistry systems ambayo inaanzia level ya 2 hadi 10 huku ikiwa na wastani wa 8 hivyo watu wanamna hii wao muda mwingi huwa na furaha hata kama atapoteza vitu vya msingi,amepata ajali au anaumwa sana au amefiliska au yupo hoi kiuchumi utamkuta anafuraha tofauti na Mtu mwenye Gloomy biochemistry inaanzia level 3 hadi 7 huku wastani ni 5 yeye hutamkuta na furaha hata kama yupo vyema kiafya,uchumi, n.k.
Japo happiness ni complex topic walau kidogo utapata picha.
Pia kitabu kinaeelezea project za Homo sapiens katika Sci-Technology,Genetic engineering ubongo wa binadamu kuuingiza katika computer,cyborgs(combination of organic and inorganic parts) project ya walemavu wa macho walau kupata kuona kwa wastani.
Baadhi ya quotes za kusisumua toka kwa kitabu.
"You cannot promise a monkey unlimited bananas in heaven and expect him to follow you"
Capitalism.
"Many Americans nowadays maintain that their government has a moral imperative to bring third world countries the benefits of democracy and human rights,
Even if these goods are delivered by cruise Missiles & F16's!!"
Kwanini Scientific revolution ilianza ulaya"Europe"..??
Jibu ni kwa sababu walikubali kwamba wao ni wajinga na kufanya juhudi za kupambana.
Pia kaelezea propaganda za Whitespeople kujigamba wapo very intelligent kuliko black pepole ambayo karne nadhani ya 18 &19 na 20 ilisambaa sana bila kusahau propaganda za naz Adolf Hitler Subhuman na superman.
Mwisho kauliza maswali ya kutafakari kuhusu mwelekeo wa Homosapiens....
View attachment A Brief sapiens-noah.pdf