Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

haya haya wale wapenzi wa fiction novels,download hapa novels tatu in pdf format za lile gwiji liliondiak the davinci code yaani Dan brown
Kuna INFERNO,LOST SYMBOL NA ORIGIN AMBACHO NDICHO LATEST CHA MWAKA HUU
kwa wale ma bashite wa kolomije wasiojua lugha pita kushotoooooo,hapa ni kwa wajanja tu tunaofatilia mambo ya professor langdon kwenye vitabu na adaptations za hollywood
Kwa yeyote hajasoma fiction za Dan Brown,...ni vizuri kupakua hapa

For fiction lovers,...Dan Brown is a well talented and equipped author...Jamaa anajua kupangilia kitabu and believe me you kwamba kama hujawahi maliza novel ndefu kwa muda mfupi hii itakuwa mara yako ya kwanza

For me Dan Brown is the best Fictional Author...
 
Kwa yeyote hajasoma fiction za Dan Brown,...ni vizuri kupakua hapa

For fiction lovers,...Dan Brown is a well talented and equipped author...Jamaa anajua kupangilia kitabu and believe me you kwamba kama hujawahi maliza novel ndefu kwa muda mfupi hii itakuwa mara yako ya kwanza

For me Dan Brown is the best Fictional Author...
you are right kabisa,nilikuwa sijawahi kusoma novel ndefu kwa siku moja au mbili lakini za Dan brown zote sijatumia zaidi ya siku mbili,ni tamu mno kama movie,no wonder novel zake zikiwa adapted kwenye film zinafanya vizuri
jana nimeanza kusoma a LEGACY OF SPIES cha John le carre ila naona kinaniboa tu
 
you are right kabisa,nilikuwa sijawahi kusoma novel ndefu kwa siku moja au mbili lakini za Dan brown zote sijatumia zaidi ya siku mbili,ni tamu mno kama movie,no wonder novel zake zikiwa adapted kwenye film zinafanya vizuri
jana nimeanza kusoma a LEGACY OF SPIES cha John le carre ila naona kinaniboa tu
Mtafute Sidney Sheldon....This is the person who inspired Dan Brown to begin writing thriller fictional novel

Huyu huwez anza novel yake leo uweke chini zina flavour yake

Sidney Sheldon was a master who inspired masters in thriller and crime novel...

Tafuta novel yake yoyote utaniambia
 
RICH DAD POOR DAD BY ROBERT KIYOSAKI kimenisaidia kuelewa kuhusu ASSET na LIABILITY
pamoja na kanuni za kukuza personal finance kwa ujumla.

I WILL MARY WHEN I WANT by NGUGI WA THIONG'O kimenisaidia kuelewa tabaka la kibepari linavyonyanyasa wanyonge katika nchi za ulimwengu watatu, kwa ujumla kimebadili fikra zangu kwa kuitambua vizuri jamii yangu.

THE ART OF THE DEAL BY DONALD TRUMP kimenisaidia kuelewa mbinu za negotiations katika jambo lolote hasa biashara. bado ninakisoma hiki kitabu ila kinanishangaza maana kinanifumbua macho sana kuhusu kutengeneza madili.
 
MKuu TheCrazy Mchokozi kuna noval flani nilisomewa na mama usiku nikiwa mdogo ya uyu sidney sheldon inausu dogo nyumbani kwao baba ake ni mfanyakazi wa bank sasa hela zinasafirishwa dogo akamsikia baba anawasiliana na wenzake akiwa nyumbani kua lini pesa zinasafirishwa aah dogo aka organise time ya watu wa5 kuvamia msafara katikati kinaitwaje ivi iki nimekisahau kabisa afu akumalizia kikaungua
 
A brief History of Human kind,Sapiens by Yovah Noah Harari.

Hiki kitabu ningependa watu wengi wakisome kipo vizuri sana.

Noah harari ameelezea kwa uzuri kabisa historia ya binadamu (sisi)"Homo sapiens"mpaka hapa tulipo na wapi walau tunapatazamia na anakuweka katika namna mpya ya kufikiri.

Kitabu kimeelezea njisi homo sapiens alivyoweza kutawala Mazingira nyakati hizo na pia kupotea kwa human specie "Neanderthals" ambayo ilikuwa na nguvu ubongo mkubwa kuliko Homo sapiens(binadamu"sisi").

Homo sapiens walianzia East Africa na kusambaa mpaka middle East.

Kitabu kinaelezea Revolutions tatu.
The cognitive revolution
The Agricultural revolution.
The scientific Revolution.

Ambazo kwa kiasi kikubwa zimeshape historia ya Sapiens(sisi).

Kitabu kitakujuza Mambo mengi Hammarudi codes Babylon Empire,Gautama buddha,Historia ya gunpowder,Imaginations- Money,Coins,Nations,Humans rigth,n.k

Mfano katika sehemu Happiness katika kitabu hiki.
Chemical Happiness, inasemekana katika tafiti Kuna watu wana cheerful biochemistry systems ambayo inaanzia level ya 2 hadi 10 huku ikiwa na wastani wa 8 hivyo watu wanamna hii wao muda mwingi huwa na furaha hata kama atapoteza vitu vya msingi,amepata ajali au anaumwa sana au amefiliska au yupo hoi kiuchumi utamkuta anafuraha tofauti na Mtu mwenye Gloomy biochemistry inaanzia level 3 hadi 7 huku wastani ni 5 yeye hutamkuta na furaha hata kama yupo vyema kiafya,uchumi, n.k.
Japo happiness ni complex topic walau kidogo utapata picha.


Pia kitabu kinaeelezea project za Homo sapiens katika Sci-Technology,Genetic engineering ubongo wa binadamu kuuingiza katika computer,cyborgs(combination of organic and inorganic parts) project ya walemavu wa macho walau kupata kuona kwa wastani.

Baadhi ya quotes za kusisumua toka kwa kitabu.
"You cannot promise a monkey unlimited bananas in heaven and expect him to follow you"

Capitalism.
"Many Americans nowadays maintain that their government has a moral imperative to bring third world countries the benefits of democracy and human rights,
Even if these goods are delivered by cruise Missiles & F16's!!"

Kwanini Scientific revolution ilianza ulaya"Europe"..??
Jibu ni kwa sababu walikubali kwamba wao ni wajinga na kufanya juhudi za kupambana.

Pia kaelezea propaganda za Whitespeople kujigamba wapo very intelligent kuliko black pepole ambayo karne nadhani ya 18 &19 na 20 ilisambaa sana bila kusahau propaganda za naz Adolf Hitler Subhuman na superman.


Mwisho kauliza maswali ya kutafakari kuhusu mwelekeo wa Homosapiens....






View attachment A Brief sapiens-noah.pdf
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom