Kitabu: First they killed my father

Kitabu: First they killed my father

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,884
Reaction score
18,824
Spoiler Alert.

Mwaka 1975-1979 dunia ilishuhudia ukichaa wa ajabu kabisa. Wakomunisti wa Cambodia(Khmer Rouge) walishika nchi. Kwanza wakapiga marufuku matumizi ya pesa kisha wakafurusha wakazi wote kutoka mjini, wakazi wa mji mkuu Phnom Penh, kama 2.5m walifukuzwa wote na kuambiwa waelekee vijijini. Walikataza kuvaa nguo za rangi, wote walitakiwa kuvaa suruali na shati jeusi.

Wakaanza kusafisha jamii kama cultural revolution ya Mao. Watu wote waliosoma, wanaovaa miwani! Madaktari na mainjinia waliuawa. Walitaka kujenga jamii safi ya wakulima.

Nchi haikuwa na madawa watu walikufa kama kuku. Pia Ili kupata silaha walichukua Mchele na kupeleka China na wao kupata silaha. Njaa ilienea watu wakapata utapiamlo huku wakila vyura, panzi, minyoo, mijusi na wadudu wengine. Ndani ya miaka minne watu karibu 2m walikufa, kwenye nchi ya watu 8m! "Wakomunisti" ni watu wa hovyo sana.
71tQnllWPyL._SL1500_.jpg
 
View attachment 3436229
Dog ... khamer rouge.... Kitabu kizuri sana hiki..
 
Siyo haki kuulaani mti kwa ajili ya tunda lake moja bovu au kwa kuwa na matunda mazuri machache.

Mtini alioulaani Yesu Kristu haukuwa na matunda kabisa, tena kwenye msimu wake kamili.
 
Siyo haki kuulaani mti kwa ajili ya tunda lake moja bovu au kwa kuwa na matunda mazuri machache.

Mtini alioulaani Yesu Kristu haukuwa na matunda kabisa, tena kwenye msimu wake kamili.
Inaonekana wakomunisti kila wapojaribu kuleta ukomunisti mwisho wake huwa mbaya sana. Mao aliua mamilioni ya watu. Stalin naye aliangamiza mamilioni. Bahati yetu Nyerere alikuwa anajielewa.

Cambodia wakati wa Khmer Rouge miti yote ya kivuli na mapambo iliondolewa mjini Phnom Penh, na pavements zote ziliondolewa ili kupanda miwese na mpunga. Kuna waziri wa Nyerere aliwahi taka kupanda mahindi viwanja vya Gymkana, watu wa Gymkana wakaenda kulia kwa Nyerere ndiyo akaviokoa! Wakomunisti wanafanana karibu duniani kote, na karibu mara zote huleta maafa kwa watu.
 
Inaonekana wakomunisti kila wapojaribu kuleta ukomunisti mwisho wake huwa mbaya sana. Mao aliuza mabilioni ya watu. Stalin naye aliangamiza mabilioni. Bahati yetu Nyerere alikuwa anajielewa.

Cambodia wakati wa Khmer Rouge miti yote ya kivuli na mapambo iliondolewa mji Phnom Penh, na pavements zote ziliondolewa na kupanda miwese na mpunga. Kuna waziri wa Nyerere aliwahi taka kupanda mahindi viwanja vya Gymkana, watu wa gymkana wakaenda kulia kwa Nyerere ndiyo akaviokoa! Wakomunisti wanafanana karibu duniani kote, na karibu mara zote huleta maafa kwa watu.
Siyo kila mtu ashikaye jembe ni mkulima, wengine ni wakolima tu (losers).

You really don't get it, do you?

Unasemaje kuhusu dini ukizingatia watu waliitumia enzi hizo na kuwaua mamilioni ya watu?

The tool doesn't become bad in itself simply because some guys may use it for some evil end.
 
Ukomunisti uko flawed vibaya mno. Kuuimplement lazima uumize na kudehumanize watu. Hapa si tatizo la watu, ni tool yenyewe ndiyo yenye tatizo. Afadhali hata ya ukabaila, ubepari na utumwa. Watu wanaishi na ndiyo maana ni mifumo iliyodumu muda mrefu.
 
Back
Top Bottom