Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi

Mshana Jr mkuu hii kitu inatokana na nini mpo kwenye maongezi ghafla mnakaa kimya kwa muda kisha mmoja wapo anaanza stori tena..

Hadi kwa magu hii.
 

Attachments

  • 255658599855_status_16d3d8cffd7a47cc9bf9f7d379b0fb33.mp4
    2.6 MB
Mshana Jr mkuu hii kitu inatokana na nini mpo kwenye maongezi ghafla mnakaa kimya kwa muda kisha mmoja wapo anaanza stori tena..

Hadi kwa magu hii.
Kienyeji wanasema shetani kapita..lakini huwa kuna nguvu ya kiroho husababisha hiyo hali yaani inafika point wote kwa pamoja hamna cha kuongea
 
Jina huathiri muktadha, asili, chanzo na uhalisia wa kitu..... Kitabu cha MWANZO katika Biblia takatifu ndicho kitabu msingi kinachosomwa zaidi duniani... Tena na imani na dini zote...
Nukuu na rejea nyingi kwenye malumbano mijadala, tafiti za kisayansi, tafiti za kilozi na kishirikina, ulimwengu wa nguvu ya 'supernatunal powers (nguvu zisizomithilika) na hata maandiko mbalimbali yahusuyo asili na chanzo cha ulimwengu... Huwezi kuacha kutaja kitabu hiki....
Masomo ya sayansi, fizikia, baiolojia, historia, kemia historia, filosofia uchawi na ulozi.. Yote haya katika ujumla wake unayapata katika kitabu hiki cha MWANZO....
Unaposoma... MUNGU AKATAMKA NA IKAWA... hii ni aina ya ushirikina, imani katika nguvu za asili na uwezo wa kuumba na kuunda kwa matamshi tu... Sayansi iwayo yote haina uwezo huu... Mambo hayo kwasasa ni ya manabii mitume na wachawi(wanga na washirikina)
Mungu anapotamka kuwa kaumba viumbe vyote... VINAVYOONEKANA NA VISIVYOONEKANA... mpaka leo hii sayansi imeshindwa kutoa jibu sahihi juu ya hivyo VISIVYOONEKANA!
Hapa ndipo inabidi turudi kwenye rejea ya kitabu cha MWANZO na kuona nini kilisemwa na kikawa halafu kikawaje! Na ndipo tunapata ufunuo wa ajabu na ugunduzi kwamba hii tunayoita SAYANSI YA ITHIBATI si chochote bali ni njia tu ya mwanadamu kujaribu kutafsiri kwa njia yake kile ambacho kilishaandikwa na kufanyika kwenye kitabu cha MWANZO
Hakuna kipya chini ya anga na kwa hakika bado hatujaweza kuvumbua kila kilichomo na kilichoandikwa kwenye zile kurasa chache za kitabu cha MWANZO
World encyclopedia, volumes kwa volumes za sutras, misahafu kwa misahafu, maandiko na mavitabu makubwa ya wanafilosofia maarufu kuwahi kutokea duniani... SUMMARY yao iko kwenye kitabu cha MWANZO

Kuna wenzetu wenye mawazo mbadala kuhusu Bible na kitabu cha mwanzo.. Ukiwa mwepezi wa tafakuri wanaweza kwa HAKIKA kabisa kukuteka na hoja zao mahiri kabisa lakini zisizo na hakika.. Ni wajenzi wazuri wa hoja zinazoteteresha kama wewe ni legelege lakini ukitulia na kutafakari hawana mwendelezo na hawaendi zaidi ya kilipokomea kitabu cha mwanzo...
Wataandika na kuchagiza kwa maneno mengi na misamiati huku wakiweka nukuu za wengine ambazo nazo zinaishia kwenye kuakisi kile kilichomo kwenye kitabu hicho cha mwanzo....
Tukirudi hapa JF hata jukwaa hili la intelligence kwa sehemu kubwa linatawaliwa na maandiko toka kitabu cha mwanzo...
Ni kwa Muktadha huu kitabu hiki cha MWANZO kinabaki kuwa chanzo kikuu, msingi, chimbuko na asili ya kila kitu katika maisha yetu ya kila siku... Iwe sayansi uchawi imani ama intelijensia....!!!
Hello. Naweza pata your instagram account?
 
Kumbe ambao sio watumiaji sana wa Instagram tuko wengi ee

Mimi mwenyewe nina akaunti Instagram na hiyo APP kwenye simu ninayo ila kuingia sasa... Mara mojamoja saaana!
Halafu huwezi kuamini sijui hata namna ya kuitumia
 
Tofauti Kati ya Mageuzi na Uumbaji wa Kibiblia

Mageuzi/ Enzi ndefu

Uumbaji wa Kibiblia

1. Dunia kabla ya Jua

1. Jua kabla ya Dunia

2. Nchi kavu kabla ya bahari

3. Anga kabla ya bahari

4. Jua kabla ya mwanga duniani

5. Nyota kabla ya Dunia 6. Dunia kwa wakati mmoja na 6. Dunia kabla ya sayari

2. Bahari kabla ya nchi kavu

3. Bahari kabla ya anga

4. Nuru Duniani kabla ya Jua

5. Dunia kabla ya nyota

sayari 7. Viumbe vya baharini kabla ya mimea ya nchi kavu

7. Mimea ya ardhini kabla ya viumbe vya baharini

8. Minyoo kabla ya samaki nyota

8. Starfish kabla ya minyoo

9. Wanyama wa ardhini kabla ya miti 9. Miti kabla ya wanyama wa nchi kavu

10. Kifo mbele ya mwanadamu

10. Kifo baada ya mwanadamu

11. Viini vya magonjwa ya TB baada ya mwanadamu

11. Viini vya magonjwa ya TB kabla ya mwanadamu (dinos walikuwa na TB)

12. Reptilia kabla ya ndege 12. Ndege kabla ya wanyama watambaao

13. Wanyama wa ardhini hapo awali

nyangumi 14. Mimea rahisi kabla ya matunda

13. Nyangumi kabla ya ardhi

miti

'vitu vya kutambaa

mimea 15. Wadudu kabla ya mamalia 15. Mamalia (ng'ombe) kabla

mamalia 14. Miti ya matunda kabla ya nyingine

16. Mamalia wa nchi kavu kabla ya popo 18. Popo kabla ya mamalia wa nchi kavu 17. Ndege kabla ya dinosauri

17. Dinosaurs kabla ya ndege

18. Wadudu kabla ya mimea ya maua

19. Jua kabla ya mimea

20. Dinosaurs kabla ya dugongs

21. Wanyama wa ardhini kabla ya wanyama wa baharini

22. Watambaji wa ardhini kabla ya pterosaurs

18. Mimea ya maua kabla ya wadudu

19. Mimea kabla ya Jua

20. Dugongs kabla ya dinosaurs

21. Watambaji wa baharini kabla ya wanyama watambaao wa nchi kavu

22. Pterosaurs kabla ya reptilia

23. Wadudu wa ardhini kabla ya kuruka wadudu

23. Kuruka wadudu kabla ya ardhi Wadudu
3364efbe085290c9f9eed68eb192260e.jpg
 
Back
Top Bottom