Kitabu cha Mch. Mtikila juu ya mauaji ya Chacha Wangwe

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Ndugu wana jamvi mtakumbuka kuwa katika taarifa aliyotoa Mtikila majuzi juu ya tukio la mlipuko wa bomu Arusha alisema kuwa taarifa aliyowahi kutoa kuwahusisha CDM na mauaji ya Chacha Wangwe inafanyiwa 'finishing' kabla ya kusambazwa nchi nzima kama kitabu...

Ni wazi kwamba Mtikila anatumika tu kama editor wa 'kitabu' hicho huku author(s) wakiwa ni mahasimu wakuu wa CDM ambao wote tunafahamu.

Naomba niwatahadharishe CCM na style hiyo wanayotaka kufanya kwa kueneza uongo kwa njia ya kitabu. Endapo kama wataendelea na mpango huo dhalimu, naamini kuna wanaharakati na wapenda mabadiliko watakao-counter attack kwa kueneza ukweli wa unyama, manyanyaso, na udhalimu wa CCM kupitia polisi uliowahi kutokea nchini tangu ilipoingia awamu ya nne.
Narudia tena, picha zipo na mashahidi wapo, na ukweli unajulikana. Kuanzia mauaji ya tarime, Ngara, Mwangosi, Igunga, Songea, Mtwara, Zanzibar (padre), Arusha (kanisani), Arusha (mkutano wa CDM), bila kusahau picha za kukamatwa, kuteswa kwa viongozi wa CDM, Ulimboka, Kibanda na wengine.
Ni wazi CCM wakitoka na hiyo singo yao ya uongo kuhusu Wangwe, na CDM wakaja na habari za ukweli kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ya CCM, vyote vikawekwa katika 'vitabu', na kusambazwa nchi nzima, tunajua ni ipi itauza zaidi...

Nawaonya tena CCM kwa mara ya mwisho katika hili...
 
Tunakisubiri hiko kitabu tuujue ukweli. hizi ni jitihada zinazopaswa kuungwa mkono.
 
Wako jikoni kutengeneza mapinduzi bandia ya nchi then waseme CHADEMA wanapindua nchi wawasweke viongozi wote wa CDM ndani kwa kosa hilo. IMEVUJA FROM KITCHEN.
 
Ikiwa kitabu hicho sio cha kweli kuna haja gani ya kuwa na wasiwasi na hilo? natarajia CDM watachukua hatua za kisheria kwa kuchafuliwa lakini kama wataendelea kukaa kimya na kukanusha kupitia vyombo vya habari bila kwenda mahakamani itakifanya kitabu hicho kuwa na mashiko.
 
Wako jikoni kutengeneza mapinduzi bandia ya nchi then waseme CHADEMA wanapindua nchi wawasweke viongozi wote wa CDM ndani kwa kosa hilo. IMEVUJA FROM KITCHEN.
...uzuri ni kuwa Watanzania wameshawajua Magamba walivyoishiwa mbinu. Tunajua hata ndani ya CHADEMA kuna mapandikizi watakaoshirikishwa kujustify mipango yao, lakini wataadhirika kama akina LUDOVICK
 
Huko ni kumtisha nyani.

CHADEMA kwa jinsi walivyo desperate ya kupewa nchi wawe na EVIDENCE hizo unazozisema wangekuwa kimya wakisubiri CCM ifanye hiki unachotaka kutuaminisha?. You must be joking!.

Kwani hufahamu kuna evidence "ZINGINE" walizipeleka kwa senate ya US na zingine pia wakazitundika kwenye baadhi ya mitaa ya US kama wauza mitumba mpaka hapa kwenye kijiwe cha JF ili Marekani, EU and other Western Countries wakate misaada na mahusiano na serikali ya CCM. What happened?

Kitabu chenyewe hakitolewa tayari mnaanza kubonyeza PUNIC BUTTON.

Just sit and relax. It's only 2013.
 
Ndugu wana jamvi mtakumbuka kuwa katika taarifa aliyotoa Mtikila majuzi juu ya tukio la mlipuko wa bomu Arusha alisema kuwa taarifa aliyowahi kutoa kuwahusisha CDM na mauaji ya Chacha Wangwe inafanyiwa 'finishing' kabla ya kusambazwa nchi nzima kama kitabu...

Ni wazi kwamba Mtikila anatumika tu kama editor wa 'kitabu' hicho huku author(s) wakiwa ni mahasimu wakuu wa CDM ambao wote tunafahamu.

Naomba niwatahadharishe CCM na style hiyo wanayotaka kufanya kwa kueneza uongo kwa njia ya kitabu. Endapo kama wataendelea na mpango huo dhalimu, naamini kuna wanaharakati na wapenda mabadiliko watakao-counter attack kwa kueneza ukweli wa unyama, manyanyaso, na udhalimu wa CCM kupitia polisi uliowahi kutokea nchini tangu ilipoingia awamu ya nne.
Narudia tena, picha zipo na mashahidi wapo, na ukweli unajulikana. Kuanzia mauaji ya tarime, Ngara, Mwangosi, Igunga, Songea, Mtwara, Zanzibar (padre), Arusha (kanisani), Arusha (mkutano wa CDM), bila kusahau picha za kukamatwa, kuteswa kwa viongozi wa CDM, Ulimboka, Kibanda na wengine.
Ni wazi CCM wakitoka na hiyo singo yao ya uongo kuhusu Wangwe, na CDM wakaja na habari za ukweli kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ya CCM, vyote vikawekwa katika 'vitabu', na kusambazwa nchi nzima, tunajua ni ipi itauza zaidi...

Nawaonya tena CCM kwa mara ya mwisho katika hili...

Mkuu na wale wapemba waliouliwa mwaka 2011 gawakuwa watu!!!!?mbona ktk orodha hawapo au udini unakusumbua!!!!
 
Mbona tunajua mtikila anatumika,ila game ambayo ccm wameamua kuicheza ni ya hatari zaidi,acha wamalize hiyo project yao kisha nasi tuje na project ya nyerere,kombe,kolimba,dr omar ali juma,sokoine,etc nahisi watakimbiana huko lumumba
 
WANANCHI WA SIKU HIZI SI WALE WA I960! Wana akili sana.. Singo yoote inayotolewa na ccm inajulikana ni uzushi. Wanatafuta mbinu ya kujinasua kwenye nitego migumu iliyonaswa nayo.. MAPAMBANO YATAENDELEA... Hakuna kurudi nyuma
 
Mtikila sio reliable person, anahongeka kirahisi sana.
Mnaikumbuka ishu ya Rostam Aziz kumuhonga Mtikila milioni tano?
Mbona hakukanusha tuhuma?
 
Kule alikozaliwa Chacha Wangwe,Mtikila alipigwa jiwe,nadhani hatasahau hilo wakati anaandika hicho kitabu.
 
Mbona tunajua mtikila anatumika,ila game ambayo ccm wameamua kuicheza ni ya hatari zaidi,acha wamalize hiyo project yao kisha nasi tuje na project ya nyerere,kombe,kolimba,dr omar ali juma,sokoine,etc nahisi watakimbiana huko lumumba

Kama Mtikila anajua aliyemuua Chacha Wangwe, kwanini serikali isimbane ili awape ushahidi wake! Au inapofikia hapo masikio ya Chagonja yanakuwa yamekufa?
 
Kwa njaa inayomkabili Mtikila sintoshangaa kusikia katinga Lumumba kuvuta hela ya kitabu hiki!
 
Back
Top Bottom