Kitabu cha Mch. Mtikila juu ya mauaji ya Chacha Wangwe

Kitabu cha Mch. Mtikila juu ya mauaji ya Chacha Wangwe

NA CDM naongeza kwenye list yako, CDM tutatoa vitabu yva mauaji ya SOKOINE, KOLIMBA, MWAIKAMBO, GIRMAN RUTUHINDA, NICAS MAHINDA,IMRAM KOMBE, RWEGASIRA WA TRC,STAN KATABALO,

.... + walikomficha aliyekuwa governor BOT Mr BALALI
 
Mbona unahaha tu si utulie mbona unaongelea mambo ya kesho acha kuruka kama umebonyezwa.

SIMIYU YAKO NA NANI WEE MSHAMBA.............. UNARUKIARUKIA ISSUES KICHWAKICHWA IPO SIKU UTA.................

Akizungumza katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu bungeni mjini Dodoma wiki hii, Pinda alisema:
  • “Ukifanya fujo, umeambiwa usifanye hiki, ukaamua kukaidi, utapigwa tu...
  • hamna namna nyingine, maana wote tukubaliane kwamba nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria.

  • “Sasa kama wewe umekaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi... wewe ndiyo jeuri zaidi, watakupiga tu...
  • Mimi nasema muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine... maana tumechoka.”

Kauli hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini.
Akizungumza na gazeti hili kwa simu, Wakili wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa, Mabere Marando alisema:
  • “Nimeshangaa kauli ya Pinda, na nia aibu kubwa kwa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na wanasheria wote waliohitimu miaka ya 1970 ambapo kulikuwa na walimu wazuri,
  • hatuna cha kusingizia kuwa hakuelewa sheria.

  • “Niseme tu kwamba kauli ya Pinda ni kibali kibaya sana kwa vyombo vya dola,
  • Na ni uthibitisho kuwa mwenendo wa serikali na polisi kuua kisha kupandishwa vyeo sio bahati mbaya, ila ni msimamo wa serikali.”

  • Marando alisisitiza kwamba kauli ya Pinda kuwa wamechoka, maana yake hawataki kusikiliza wananchi tena,
  • na anatoa kibali kuwa wananchi wakienda kuuliza au wakiwa na jambo ambalo hawajaelewa, basi wapigwe na viongozi.
 
Peleka mashudu yako huko kuhusisha chama cha kishetani(Chadomo) na mungu huoni ndo dhihaka kubwa
......Tutamuuliza pia hadi sasa ameshakopa sh ngapi kwa mafisadi wa CCM ukiacha zile za Rostam? Poor Mtikila, atambue kuwa Mungu hadhihakiwi!
 
Mbona unahaha tu si utulie mbona unaongelea mambo ya kesho acha kuruka kama umebonyezwa.

huu ni uoumbavu unaouandka sasa CCm ndo wamemuua padri? Tatzo nyie chadema na wote wny damu za kisiasa mkiona kitu kmetokea bac ndo mnapata cha kusema, pumbavu kabsa acheni kuwajaza upumbavu watanzania waliowajinga, ndugu yangu uko sawa jamaa anakurupuka sijui anaogopa nn?
 
Ndugu wana jamvi mtakumbuka kuwa katika taarifa aliyotoa Mtikila majuzi juu ya tukio la mlipuko wa bomu Arusha alisema kuwa taarifa aliyowahi kutoa kuwahusisha CDM na mauaji ya Chacha Wangwe inafanyiwa 'finishing' kabla ya kusambazwa nchi nzima kama kitabu...

Ni wazi kwamba Mtikila anatumika tu kama editor wa 'kitabu' hicho huku author(s) wakiwa ni mahasimu wakuu wa CDM ambao wote tunafahamu.

Naomba niwatahadharishe CCM na style hiyo wanayotaka kufanya kwa kueneza uongo kwa njia ya kitabu. Endapo kama wataendelea na mpango huo dhalimu, naamini kuna wanaharakati na wapenda mabadiliko watakao-counter attack kwa kueneza ukweli wa unyama, manyanyaso, na udhalimu wa CCM kupitia polisi uliowahi kutokea nchini tangu ilipoingia awamu ya nne.
Narudia tena, picha zipo na mashahidi wapo, na ukweli unajulikana. Kuanzia mauaji ya tarime, Ngara, Mwangosi, Igunga, Songea, Mtwara, Zanzibar (padre), Arusha (kanisani), Arusha (mkutano wa CDM), bila kusahau picha za kukamatwa, kuteswa kwa viongozi wa CDM, Ulimboka, Kibanda na wengine.
Ni wazi CCM wakitoka na hiyo singo yao ya uongo kuhusu Wangwe, na CDM wakaja na habari za ukweli kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ya CCM, vyote vikawekwa katika 'vitabu', na kusambazwa nchi nzima, tunajua ni ipi itauza zaidi...

Nawaonya tena CCM kwa mara ya mwisho katika hili...
Hii ndiyo inaitwa blackmail; na hivi Chacha Wangwe ndio nani mbona mimi simjui? halafu ndugu yangu kwani hujui siasa ni mchezo mchafu? ni kucheza na akili za wajinga? wajanja hawawawezi wanaijua kweli na vitabu vyao watauzia wajinga tuuu. Wala cdm wasijisumbue katika hilo kwa kuwa hawataweza kushindana kwa propaganda na hao wenye serikali nzima mgongoni pao watulie tu wafanye siasa mambo ya propaganda yatawapotezea wakati bure na wala hayamletei mtz maisha bora. Ni kweli wanalojukumu kuwaelimisha wananchi na kuwavua ujinga na kuongopewa lakini hilo lisiwe ndio msingi; tuachane tu na siasa za majitaka ipo siku watu watajua tu adui yetu ni nani huwezi kuwadanganya milele
 
Huyu ni muoga Nisha muona hahahaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
huu ni uoumbavu unaouandka sasa CCm ndo wamemuua padri? Tatzo nyie chadema na wote wny damu za kisiasa mkiona kitu kmetokea bac ndo mnapata cha kusema, pumbavu kabsa acheni kuwajaza upumbavu watanzania waliowajinga, ndugu yangu uko sawa jamaa anakurupuka sijui anaogopa nn?

Wewe ni mavi ya mbuzi kabisa ushahidi uko wazi wewe magamba na serikali yeni mmeshindwa kuwalinda mapadre wetu wameumizwa,wameuwawa kwa sababu ya udhaifu wa serikali ya SISIEMU na wanachama wake ipo siku mtalia na kusaga meno hakyamungu lazima muikimbie nchi 2015, kk zenu ninyi magamba na wadahifu wakubwa.
 
Ndugu wana jamvi mtakumbuka kuwa katika taarifa aliyotoa Mtikila majuzi juu ya tukio la mlipuko wa bomu Arusha alisema kuwa taarifa aliyowahi kutoa kuwahusisha CDM na mauaji ya Chacha Wangwe inafanyiwa 'finishing' kabla ya kusambazwa nchi nzima kama kitabu...

Ni wazi kwamba Mtikila anatumika tu kama editor wa 'kitabu' hicho huku author(s) wakiwa ni mahasimu wakuu wa CDM ambao wote tunafahamu.

Naomba niwatahadharishe CCM na style hiyo wanayotaka kufanya kwa kueneza uongo kwa njia ya kitabu. Endapo kama wataendelea na mpango huo dhalimu, naamini kuna wanaharakati na wapenda mabadiliko watakao-counter attack kwa kueneza ukweli wa unyama, manyanyaso, na udhalimu wa CCM kupitia polisi uliowahi kutokea nchini tangu ilipoingia awamu ya nne.
Narudia tena, picha zipo na mashahidi wapo, na ukweli unajulikana. Kuanzia mauaji ya tarime, Ngara, Mwangosi, Igunga, Songea, Mtwara, Zanzibar (padre), Arusha (kanisani), Arusha (mkutano wa CDM), bila kusahau picha za kukamatwa, kuteswa kwa viongozi wa CDM, Ulimboka, Kibanda na wengine.
Ni wazi CCM wakitoka na hiyo singo yao ya uongo kuhusu Wangwe, na CDM wakaja na habari za ukweli kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ya CCM, vyote vikawekwa katika 'vitabu', na kusambazwa nchi nzima, tunajua ni ipi itauza zaidi...

Nawaonya tena CCM kwa mara ya mwisho katika hili...

​Dua ya kuku haimpati mwewe.
 
Mbona tunajua mtikila anatumika,ila game ambayo ccm wameamua kuicheza ni ya hatari zaidi,acha wamalize hiyo project yao kisha nasi tuje na project ya nyerere,kombe,kolimba,dr omar ali juma,sokoine,etc nahisi watakimbiana huko lumumba

Dah na kamanda mtiifu...Kumbe je?mnamsahau?....KOMBE...
 
......Tutamuuliza pia hadi sasa ameshakopa sh ngapi kwa mafisadi wa CCM ukiacha zile za Rostam? Poor Mtikila, atambue kuwa Mungu hadhihakiwi!

chadema ni mungu? Acha unafki
 
​Dua ya kuku haimpati mwewe.

  • Sielewi mantiki ya kauli hiyo. Na sasa ikija kutokea kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akatoa ushaidi kuwa askari wa FFU ndiye aliyerusha bomu katika mkutano wa CHADEMA, mantiki yake itakuwaje?
  • Yaani si itakuwa na maana kuwa lile bomu la kanisani lilitupwa na askari wa FFU kama ili lililolenga kuwaua viongozi wa CHADEMA kwenye mkutano wao? Nauliza tu, jamani, nisaideni nielewe.
  • Halafu neno ugaidi limetumiwa katika matamshi kuelezea kilichotokea kuhusu urushwaji wa bomu kanisani na kwenye mkutano wa CHADEMA huko huko Arusha.Mantiki yake ni nini?

  • Yaani kama Mbowe anao ushaidi wa askari wa FFU kuhusika, inamaanisha kumbe askari hao ndio wanaofanya vitendo vya ugaidi? Kumbe si Waislamu wenye siasa kali? Kumbe askari wa FFU wanatumiwa kuleta chuki za kidini zisizokuwepo? Hicho kikundi serikalini kinachofanya hivyo kinafanya hivyo ili iweje huko mbele ya safari?
  • Nimebaki na maswali mengi kichwani yasiyo na majibu. Yaani inawezekana kuna kikundi ndani ya CCM ambacho kingetaka CHADEMA ifutwe na wakati huo huo Wakristo wawachukie Waislamu kiasi kwamba hawatataka Muislamu yeyote kusimamishwa na CCM kugombea urais, siyo?
  • Maana yake kikundi hiki kinataka Wakristo wa Tanzania waseme ‘mgombea wa urais wa Kiislamu hatumtaki tena', siyo? Na wakati huo huo kinasema CHADEMA ifutwe kwa vile ni chama cha kigaidi, siyo?
  • Yaani huu ndio mkakati kabambe wa kukiwezesha chama cha CCM kubaki madarakani, lakini huku nchi ikiongozwa na rais Mkristo, siyo? Bila shaka kwa maana hii lazima rais atoke Tanzania Bara, kwa mara nyingine tena miaka 20 kwa mfululizo, au siyo? Yaani mkakati huu malengo yake inawezekana ni haya? Nauliza tu maswali, nisaidieni nijue.
  • Na hizi milioni 100 za atakayetoa habari za kukamatwa kwa wanaofanya ugaidi huu kwa nini asitangulie kupewa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwingulu Nchemba ambaye amekuwa akituelezea tangu mwaka jana kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi na ushaidi wa ugaidi wanaoupanga anao na kinabidi kifutwe?
  • Nauliza tu jamani, nisaidieni nielewe mantiki ya matamshi na matendo ya serikali yangu ya Tanzania tangu tukio hilo baya la kutaka kutoa roho ya Mbowe. Mungu Ibariki Tanzania.

Mkuu na wale wapemba waliouliwa mwaka 2011 gawakuwa watu!!!!?mbona ktk orodha hawapo au udini unakusumbua!!!!

I beg 2 differ wewe ndo mdini, yeye katoa taarifa yake toka maeneo tofauti so ungeogezea tu cyo kumvika mwenzio cheo cha udini maana dini yake probably huijui.
 
Kimeshatoka? Nataka kumjua nani alihusika kumuua shujaa wangu wakati nipo sekondari,chacha zakayo wangwe rasta
 
Ndugu wana jamvi mtakumbuka kuwa katika taarifa aliyotoa Mtikila majuzi juu ya tukio la mlipuko wa bomu Arusha alisema kuwa taarifa aliyowahi kutoa kuwahusisha CDM na mauaji ya Chacha Wangwe inafanyiwa 'finishing' kabla ya kusambazwa nchi nzima kama kitabu...

Ni wazi kwamba Mtikila anatumika tu kama editor wa 'kitabu' hicho huku author(s) wakiwa ni mahasimu wakuu wa CDM ambao wote tunafahamu.

Naomba niwatahadharishe CCM na style hiyo wanayotaka kufanya kwa kueneza uongo kwa njia ya kitabu. Endapo kama wataendelea na mpango huo dhalimu, naamini kuna wanaharakati na wapenda mabadiliko watakao-counter attack kwa kueneza ukweli wa unyama, manyanyaso, na udhalimu wa CCM kupitia polisi uliowahi kutokea nchini tangu ilipoingia awamu ya nne.
Narudia tena, picha zipo na mashahidi wapo, na ukweli unajulikana. Kuanzia mauaji ya tarime, Ngara, Mwangosi, Igunga, Songea, Mtwara, Zanzibar (padre), Arusha (kanisani), Arusha (mkutano wa CDM), bila kusahau picha za kukamatwa, kuteswa kwa viongozi wa CDM, Ulimboka, Kibanda na wengine.
Ni wazi CCM wakitoka na hiyo singo yao ya uongo kuhusu Wangwe, na CDM wakaja na habari za ukweli kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ya CCM, vyote vikawekwa katika 'vitabu', na kusambazwa nchi nzima, tunajua ni ipi itauza zaidi...

Nawaonya tena CCM kwa mara ya mwisho katika hili..
.

Kwenye nyekundu hapo, Sasa watoa kitisho ili kama kweli Chacha Wangwe aliuliwa mauaji yake yasiwekwe hadharani? Nafikiri tumuache Mtikila atoe hicho kitabu, kama ni uzushi wenye kuchafua chama chetu tutamchukulia hatua za kisheria, lakini kutisha kwa kusema unataarifa zingine za CCM kufanya mauaji ndio iwe sababu ya kumtaka Mtikila asifichue anachokijua utakuwa ni mwendelezo wa kutaka watu waamini kuwa chama chetu kimemuua Wangwe na wala hakufa kwa ajali kama ilivyosemwa.

Kama kuna mabaya CCM imefanya ni lazima yawekwe hadharani, na tusiyafiche kisa tu tunataka na sisi yetu yafichwe.

Njano5
.
 
Mtikila umri umemtupa mkono anatafuta fedha za mwisho mwisho....
 
Back
Top Bottom