Kitabu cha Gamba la Nyoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu cha Gamba la Nyoka

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by EMT, May 21, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Natafuta kitabu chenye title "Gamba la Nyoka" kilichoandikwa na Profesa Kezilahabi. Tokea CCM kutangaza kujivua gamba hiki kitabu kimeadimika sana kwenye maduka ya vitabu.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ukikipata naomba uniazime.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  kinahusu nini? aliyekisoma atupe dondoo
   
 4. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanzania Publishing House-samora Evenue.Jaribu hapo.
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikaangalie hm, kilikuwepo kwenye shelf, ni kizuri, mambo sasa na mambo leo.
   
 6. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kinahusu kitu gani hasa tudondoshee hapa ili tujue
   
 7. C

  Choveki JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ilishauzwa zamani gani ijui! Hivi sasa hao walionunua hawana hili wala lile, sidhani hata kama wanakumbukumbu kamili ya vitabu vilivyokwisha chapishwa na TPH......Kama sikosei weshakula hadi mtaji.........
   
Loading...