Mambaz 24 jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 694
- 1,417
Mkuu naipataje hi dp Yako😀Yaani kaifikia vizuri sana. CCM walipanua vizuri ndo maana kaifikia.

Polepole aliwatekenya kwanza, wakasahau kuwa anaitafuta G-Spot wakalegeza MA-KU, jamaa akaigusa kiulaini bila hata kutoka jasho.Goli la wazi 😹
Mkuu naipataje hi dp Yako😀
Marehemu kupiga kura kwa Tz hapa ni kawaida sanaTZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
Mshipa wa aibu ulishakatika. Walishawaona watanzania ni wajinga.Wapuuzi sana hawa watu mwaka jana wakati wa uandikishaji wapiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa ulihitimishwa saa kumi jioni na kesho yake alfajiri Mchengerwa anatangaza idadi ya watu waliojiandikisha kwa nchi nzima, hawana hata mishipa ya aibu kuongopa.
Nikweli Mkuu. Hebu fikiria haya yote yalifanyika gizani lkn Mungu kayaweka yote nuruni ili kila mmoja ajue ukweli. Shetani hajawahi kumshinda Mungu.Mungu huwafitinisha wafitini akiwa na sababu zake.
Bado, tunategemea Polepole atujulishe mengi zaidi ya hayo.
Polepole sio wa kumwamini sana.TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
Miujiza hii ndugu zanguniNikweli Mkuu. Hebu fikiria haya yote yalifanyika gizani lkn Mungu kayaweka yote nuruni ili kila mmoja ajue ukweli. Shetani hajawahi kumshinda Mungu.
Kwa hiyo unataka wewe tukuamini???Polepole sio wa kumwamini sana.
Very rare ......Polepole kagusa kwenye G-spot 😹
Kwa uhaini huu, tayari uchaguzi ushafanyikaAibu sana, na wajitangaze sasa kama washindi tusipoteze muda.
Mkuu asante kwa kuniwahi kulielezea hili jambo. Bado nilikuwa kwenye tafakari nzito baada ya kusoma ujumbe wa NEC walioutoa leo kukanusha alichoongea POLEPOLE mtu ambaye alishawahi kuwa mtendaji mkuu wa chama cha CCM. Hili si jambo la kulipuuzia hata kidogo, watanzania tutaonekana mazumbukuku kama hii disclosed information haitafanyiwa kazi. Tusishangae kwanini wakuu wa vyombo vya ulinzi wanabadirishwa mara kwa mara especially idara yetu pendwa inayotakiwa kuangaza jicho nchi nzima ili kuzima vitisho na hatari yoyote juu ya watanzania na nchi yao.TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
INEC: ^Mfumo wetu wa kupiga kura ni wa manual…^ ^Hakuna kura za kielekroniki.^Mkuu asante kwa kuniwahi kulielezea hili jambo. Bado nilikuwa kwenye tafakari nzito baada ya kusoma ujumbe wa NEC walioutoa leo kukanusha alichoongea POLEPOLE mtu ambaye alishawahi kuwa mtendaji mkuu wa chama cha CCM. Hili si jambo la kulipuuzia hata kidogo, watanzania tutaonekana mazumbukuku kama hii disclosed information haitafanyiwa kazi. Tusishangae kwanini wakuu wa vyombo vya ulinzi wanabadirishwa mara kwa mara especially idara yetu pendwa inayotakiwa kuangaza jicho nchi nzima ili kuzima vitisho na hatari yoyote juu ya watanzania na nchi yao.
Poor my country...😰
Marehemu wanafufuka wakati wa uchaguzi ili kutimiza wajibu wao kikatiba😂😂😂Hilo la Rita ndo balaaa. Lawama zilishatokea marehemu wamepiga kura uchaguz serikali za mitaa
hua inafanyaje kazi eleza kidogo tuPolepole kagusa kwenye G-spot 😹
Hizi ndizo sababu 5 kwanini tumchague Rais Samia:TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
Duh,Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura