Kitaalam, alichomaanisha Polepole ni hiki

Mnajichekesha chekesha tu wapinzani wenyewe vijana wadogo mpo wachache CCM tupo zaidi ya milioni 11+ mnawaza kuibiwa kura chache. za uchache wanu !!!

Kwasasa. WATANZANIA hawana Iman na wapinzani.

Mnajisumbua kuwaza sana kuibiwa na pesa zenyewe huna!!!🤣🤣🤣

Fanyani tafiti Mtaelewa. Somo kuu wananchi chaguzi ya 2015 waliwachagua. WAPINZANI wengi kuwa Wabunge na walikesha kulinda izo kura.💪🏋‍♀️ mwisho Wabunge wengi wakatangazwa kushinda Ubunge Akiwemo LISU mnyika mzee Mbowe Lema Nasari prof J. Heche Wenje Halima Mdee Waitara Msingwa Michael Said Kubenea Jua kali Mturia Ester Buraya Bunda N.k

uyu Buraya bint ndio ilikuwa gumzo kubwa kwenye magazeti MEDIA mana kamgalagaza mzee Wassira,

ndio Wassira uyu uyu Makamu Mwenyekiti CCM Taifa wa leo.

Mzee Wassira hakakimbilia Mahakamani napo pia Buraya kamgalagaza Mzee kasema bado tukutane Mahakama kuu Buraya bado Mshindi yeye 😆😆 mzee kakimbilia Mahakama ya Rufaa napo wapi Buraya kashinda
Apo mzee Wassira wakashikana mikono na kijana wake Buraya kuwa sasa wewe ndio Mbunge wangu.

Tume ya Uchaguzi hii INEC sio nyengine.

Wapinzani waliaminiwa wengi sana miji ya Dar Arusha Moshi kote Wapinzani walitamba
chini ya tume ya Uchaguzi hiii

baadae nini kimetokea kwa Wapinzani Wabunge baadhi yao wakahamia CCM wakiwa tayali ni Wabunge yani Wananchi walichoka kinoma¿¿

wamewapigia kura na wakakesha Siku 4 kulinda kura leo unawasaliti wananchi wako kimewauma vibaya wananchi !!

ndiomana kwasasa wananchi na Upinzani paka na panya kitendo kile ndio kimeuwa Upinzani nchini sio NIDA sio mengine

uyo polepole ndio muhusika wa kushawishi Wabunge wapinzani kuamia CCM kama kuomba msamaha angejielekeza hapo ili ndio kosa lake,,
Sababu Wananchi mpaka kesho wamevunjika moyo na Upinzani

ndiomana CCM tunashinda kwa kishindo mfano chaguzi ya Serikali za mitaa mwaka jana CCM tumeshinda kwa 98% Wapinzani kwa pamoja wamepata 2%

mwaka huu CCM tutashinda sio chini ya 95%
Wananchi Bado hawana imani na Wapinzani wasasa.

Tatizo sio NIDA sio iNEC uwongo tu.

kesho tena utamwamini mpizani mwengine kuna siku nimeandika andiko kumuongelea LISU

LISU Kisayansi kapishana na nyakati za kufanya Siasa za kuitaji Wananchi yani Suport yao Kwasasa nikama Unateseka Buree kwamaana nguvu ya Upinzani ilikufa kutoka kwenye mikoa ile yenye vuguvugu la kipinzan yani MBEYA ARUSHA MOSH DAR IRINGA

ivyo Lisu nikama kukaa kwake ndani Upinzani wasasa hakuna kitu utavuna wala yeye hatopata chochote kwasasa zaid kuteseka kukaa ndani bureee

Siasa zake zasasa zinatakiwa kusubiri miaka 25 -30 ijayo kiwepo kizaz kipya kilichosaau Ujinga wa Upinzani waliowafanyia Wananchi wao.

mfano mm mwenyewe ninawajua vijana Mbeya ndio wakorofi kinoma kwenye kulinda kura kwasasa wapo CCM na ni wajumbe ndani ya CCM !!

uko Mbeya vijana wengi wameamia CCM Uchaguzi huu wa October28. Mtaelewa ninacho wakilisha kwenu

Sugu kashaelewa mchezo watu imani hawana na Upinzani japo yeye sio msaliti

Sababu kuu ileile nimewaambia uko juu.

Wameumia sana na kitendo cha Wabunge kuamia CCM mwaka 2015.

Wenye Akili tu ndio wataelewa somo langu ,,
Unaonekana mpumbavu
 
TZ

Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )

Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.

Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.

Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura

Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )

Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.

Kitaalamu ni kuwa ukifanya uchunguzi sasa hivi hakuna kitu utaona sababu tayari kuna record zisizo halali zilishawekwa tayari. Suluhisho pekee, mchakato wa uhakiki na uandikishaji wa daftari la wapiga kura uanze upya na uwekwe wazi mda wote mtu akitaka kuhakiki taarifa zake kupitia NIDA zionekane, kuwe na portal ambayo mda wote inaonyesha idadi kamili ya wapiga kura, verification ifanyike direct kutokea katika DB ya NEC, na ikitokea mtu amefariki taarifa yake itoke NEC in real-time baada ya kufika RITA.

Haya ni mambo yanayowezekana ni kwamba wanajitoa ufaham tu.
Hovyo kabisa. Daftari liko wazi na kila chama kimepewa nakala. Soft copy na hardcopy. Umesema kuna vijana hawakujiandikisha kupiga kura lakini walisajiliwa bila ridhaa yao kupitia taarifaf zao za NIDA. Ni vizuri hao wakajitokeza hadharani na kuwasuta INEC kuwa hawakujiandikisha kupiga kura lakini taarifa zao zipo kwenye daftari. Tuanzie hapo kwa ushahidi ndio uje na upupu huu wako uliouandika.
Nilivyoona heading nikajua kuna sababu ya msingi kumbe hakuna zaidi ya kujustify kwa hoja muflisi kabisa .
Huyo Pole pole atuambie hizo njia zilivyotumika kwa kuunganisha mifumo zilivyotumika kuiba kura.
 
Jibu kwa hoja
 
Jibu kwa hoja
Alichoandika mtoa mada ni mawazo yake juu ya alichukusudia Pole pole baada ya watu kuhoji logic ya hoja zake. Cha kushangaza kaandika upupu mtupu. Awataje hao walioandikishwa bila ridhaa yao maana madaftatri yenye orodha ya wapiga kura wote milioni 37 wamepewa vyama vyote.
 
Umesoma vizuri hoja yake.?
 
TZ

Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )

Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.

Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.

Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura

Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )

Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.

Kitaalamu ni kuwa ukifanya uchunguzi sasa hivi hakuna kitu utaona sababu tayari kuna record zisizo halali zilishawekwa tayari. Suluhisho pekee, mchakato wa uhakiki na uandikishaji wa daftari la wapiga kura uanze upya na uwekwe wazi mda wote mtu akitaka kuhakiki taarifa zake kupitia NIDA zionekane, kuwe na portal ambayo mda wote inaonyesha idadi kamili ya wapiga kura, verification ifanyike direct kutokea katika DB ya NEC, na ikitokea mtu amefariki taarifa yake itoke NEC in real-time baada ya kufika RITA.

Haya ni mambo yanayowezekana ni kwamba wanajitoa ufaham tu.
Sasa muda unaruhusu!??, Hapo ndipo hoja ya chama makini CDM inakua na mashiko.
 
Huu ni uongo kwakuwa kura zinapigwa kupitia makaratasi na sio mfumo.

Ingekuwa ni mfumo unatumika hapo sawa ila kwa njia hii ya kura za makaratasi mnatupiga kamba tu hapa.
Polepole: matokeo yanachakatwa kabla ya zoezi la kupiga kura.
😂😂😂

Umeelewa mkuu?
 
Hovyo kabisa. Daftari liko wazi na kila chama kimepewa nakala. Soft copy na hardcopy. Umesema kuna vijana hawakujiandikisha kupiga kura lakini walisajiliwa bila ridhaa yao kupitia taarifaf zao za NIDA. Ni vizuri hao wakajitokeza hadharani na kuwasuta INEC kuwa hawakujiandikisha kupiga kura lakini taarifa zao zipo kwenye daftari. Tuanzie hapo kwa ushahidi ndio uje na upupu huu wako uliouandika.
Nilivyoona heading nikajua kuna sababu ya msingi kumbe hakuna zaidi ya kujustify kwa hoja muflisi kabisa .
Huyo Pole pole atuambie hizo njia zilivyotumika kwa kuunganisha mifumo zilivyotumika kuiba kura.
Mkuu nadhani usingetukana bali ungeomba ufafanuzi ili upewe.
 
Kama kura zinapigwa kwa makaratasi mfumo unatumikaje kubadili matokeo .
Hakuna sehemu imasemwa kuwa kura zinabadilishwa na mfumo, issue ni daftari la mpiga kura au kwa lugha ingine Database ya NEC, ina taarifa za watu ambao hawakujiandikisha kwa hiari yao. Hizi ndio baadae huitwa kura feki
 
Huu ni uongo kwakuwa kura zinapigwa kupitia makaratasi na sio mfumo.

Ingekuwa ni mfumo unatumika hapo sawa ila kwa njia hii ya kura za makaratasi mnatupiga kamba tu hapa.
We jamaa siku hizi umepatwa na nini? Au umeshalamba asali?
 
Hakuna sehemu imasemwa kuwa kura zinabadilishwa na mfumo, issue ni daftari la mpiga kura au kwa lugha ingine Database ya NEC, ina taarifa za watu ambao hawakujiandikisha kwa hiari yao. Hizi ndio baadae huitwa kura feki
Kura zinapigwa kwa makaratasi zinahesabiwa mbele ya mawakala

Matokeo yakijumuisha yanabandikwa kwenye vituo na ndio yanayotumwa INEC.

Hapo mfumo unatumikaje? Habari ya daftari Pole Pole hakuizungumzia , point of discussion ni mfumo.
 
Pole pole hakuweza kuiweka kitaalam, anachojua yeye ni kuwa kuna jinsi CCM wameweza kuunganisha na kupata taarifa za wapiga kura ( NEC ) Kupitia vitambulisho vyao ( NIDA )

Sio mara moja au mbili tunasikia mabox fake yamekamatwa. Yale mabox feki unafikiri yanakuwa na kura za wapiga kura gani

CCM haijawahi kulazimisha wanaanchi kujiandikisha katika daftari, mtaji wao ni usijiandikishe ile uje kuwapigia kura feki baadae
 
Hovyo kabisa. Daftari liko wazi na kila chama kimepewa nakala. Soft copy na hardcopy. Umesema kuna vijana hawakujiandikisha kupiga kura lakini walisajiliwa bila ridhaa yao kupitia taarifaf zao za NIDA. Ni vizuri hao wakajitokeza hadharani na kuwasuta INEC kuwa hawakujiandikisha kupiga kura lakini taarifa zao zipo kwenye daftari. Tuanzie hapo kwa ushahidi ndio uje na upupu huu wako uliouandika.
Nilivyoona heading nikajua kuna sababu ya msingi kumbe hakuna zaidi ya kujustify kwa hoja muflisi kabisa .
Huyo Pole pole atuambie hizo njia zilivyotumika kwa kuunganisha mifumo zilivyotumika kuiba kura.
SOMA HAPA MKUU

Back
Top Bottom