Tatizo ndio hua lipo hapasiku zote huwa nasemaga,kwa mtu mwenye akili timamu+uelewa hawezi poteza muda,nguvu zake akaenda kukaa foleni kupiga kura
Ova
CCM hawataki raia wote tujiandikishe katika daftariWapuuzi sana hawa watu mwaka jana wakati wa uandikishaji wapiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa ulihitimishwa saa kumi jioni na kesho yake alfajiri Mchengerwa anatangaza idadi ya watu waliojiandikisha kwa nchi nzima, hawana hata mishipa ya aibu kuongopa.
Ule usemi wao wa miaka nenda rudi waliyokuwa wanasemaTatizo ndio hua lipo hapa
Ninakubaliana nawe kuhusu "waTanganyika kusimama imara kwa hili". Swali muhimu ni "kusimama imara" kwa namna zipi/njia gani?Ni masikitiko katika taifa, WAHAINI ni CCM Wala sio Tundu Lissu, watanganyika tusimame imara kwa hili.
Duh, mbona mfumo wa upigaji kura hapa kwetu upo complicated mno, na hii ni sababu ya kuwa wateule wote wa taasisi zote hyaani NIDA, INEC, RITA wote wanateuliwa na Rais, je kwa style hiyo watashindwa kutekeleza matakwa ya boss wao...!!?TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
Tuanzie wapi kulifanyia kazi mkuu 'fydell'?ambo la kulipuuzia hata kidogo, watanzania tutaonekana mazumbukuku kama hii disclosed information haitafanyiwa kazi.
Mtaji wao mkubwa ni watu kutojiandikisha kupiga kuraWapuuzi sana hawa watu mwaka jana wakati wa uandikishaji wapiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa ulihitimishwa saa kumi jioni na kesho yake alfajiri Mchengerwa anatangaza idadi ya watu waliojiandikisha kwa nchi nzima, hawana hata mishipa ya aibu kuongopa.
Hakukua na haja ya kuwa na namba ya mpiga kura au daftariDuh, mbona mfumo wa upigaji kura hapa kwetu upo complicated mno, na hii ni sababu ya kuwa wateule wote wa taasisi zote hyaani NIDA, INEC, RITA wote wanateuliwa na Rais, je kwa style hiyo watashindwa kutekeleza matakwa ya boss wao...!!?
Tatizo linaanzia hapo, Uhuru wa taasisi hizi na hapo ndo maana tunataka Katiba mpya ili kupunguza madaraka ya Rais ya kuwa yeye ndo mteuzi wa kila taasisi hyaani ( BOSS )
Na wanaendelea kukojoa..!!Polepole kagusa kwenye G-spot 😹
Maelezo Mujarabu....!TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
That's very possible, manake nakumbuka Kipindi Cha Magu alikua analalamika kwamba Serikali yake inawalipa mishahara Marehemu, sasa kama undava huo ulikua unafanyika kwa Serikali yenye vyombo vyote vya ulinzi including TISS sitashangaa kama raia wa Kawaida akiibiwa voting rights zake.TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura possibility ya wewe kuwa katika daftari la kupigia kura ni kubwa kwa sababu tu tayari taarifa zako za NIDA walikua nazo.
Wengi ambao hawana kadi ya kupiga kura ( wengi wakiwa vijana ) , hawakuhangaika hata kwenda kujihakiki katika daftari la mpiga kura sababu wanajua hawapo, hapo ndio uhaini ulipofanyika, baada ya mlango wa kuhakiki kufungwa na kabla ya kutangazwa, daftari likaongezwa taarifa kutoka NIDA ( Ambapo kuna taarifa zako zote, picha yako na fingerprint yako ). Kwa mifumo ya IT hii ni process isiyochukua hata dakika 3 kuongeza hata zaidi ya 10M voters.
Sasa siku ya kupiga kura, sababu unaamini huna vigezo, hautatokea kituoni, ila wakija kuhesabu baadae ( baada ya kuongeza box za kura feki ambazo zitakua na kura zenye taarifa halali kutoka NEC ) utajikuta upo katika orodha ya watu waliopiga kura
Ni nini tume ya uchaguzi ifanye kutuhakikishia kuwa kama sikujiandikisha basi taarifa zangu hazipo NEC, waweke portal ambayo mtanzania yoyote anaweza ingiza NIDA ( sio namba ya mpiga kura ) yake kuangalia kama yuko katika daftari la mpiga kura. Na hii portal iwe wazi mda wote ( kabla na baada ya uchaguzi )
Nyongeza
Tukumbuke pia CCM wana access sio tu na mfumo wa NIDA, bali hata RITA, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa wapiga kura wakawa ndugu zetu waliokwisha tangulia mbele ya haki, as long as alishawahi jiandikisha na daftari la mpiga kura.
Pia anaweza kulipwa mishahara kwa Kipindi kirefu sana.Marehemu kupiga kura kwa Tz hapa ni kawaida sana