mnafiki wa kwanza huyo...😀😀😀😀😀Nilitaka kushangaa kama ingekosa komenti HASI kama hii na hasa kutoka kule kwa wazee wa kuibiwa kura bila kujifunza njia ya kuzuia wizi
mnafiki wa kwanza huyo...😀😀😀😀😀Nilitaka kushangaa kama ingekosa komenti HASI kama hii na hasa kutoka kule kwa wazee wa kuibiwa kura bila kujifunza njia ya kuzuia wizi
Nimecheka sana.Warimu kutoka Mologolo watafaidi kweri kweri maana hawa Wasauzi wana histolia kubwa na Mologolo! Mapambano ya kureta uhulu nchini kwao yarifanyika kutoka na mafunzo wariopata huko.Wengi wataludi kusoma.
Razima sasa watawakumbuka katika hiri ra Kiswahiri!
Kwanini usiwe unaandika Kiswahili, wewe ni mtanzania wa wapi?Swafiiii sana
Mola awe nasi milele yote walahi
Umeanza vizuri sasa unaharibu hapo kwenye kiingereza, basi hatuendi huko tutabaki kwetu tunajenga viwanda, wacha wakenya waende.Kufuatia agizo la mamlaka za elimu Afrika Kusini kutaka Kiswahili kifundishwe mashuleni nchini humo, naamini hii ni nafasi adhimu kwa vijana wetu wataalamu wa Kiswahili kuinyakua fursa hii haraka iwezekanavyo.
Lakini katika muktadha huo, vijana wetu wakitaka kupata ADDED ADVANTAGE katika kuchangamkia fursa hii ni lazima wawe mahiri katika Kiingereza pia.
Kwasababu katika ufundishaji watapaswa kufanya tafsiri na uchanganuzi wa sarufi toka lugha ya Kiingereza kwenye Kiswahili, hivyo ni lazima wakimudu Kiingereza kwanza.
Tukizembea hilo, baada ya muda, wakenya watatupiku kwa spidi ya mwendokasi halafu tutabaki tunashangaa licha ya kuwa ni ukweli kwamba Watanzania ndio wabobezi wa lugha fasaha ya Kiswahili duniani, Afrika, na Afrika mashariki yote.
Tumeisha fail ni walimu siyo warimuWarimu kutoka Mologolo watafaidi kweri kweri maana hawa Wasauzi wana histolia kubwa na Mologolo! Mapambano ya kureta uhulu nchini kwao yarifanyika kutoka na mafunzo wariopata huko.Wengi wataludi kusoma.
Razima sasa watawakumbuka katika hiri ra Kiswahiri!
Maana yake nini neno hli?laisi
Wewe unafaa kwenda kuunga mkono juhudi za laisi kitendo kitakacho ifulahisha ccm na kiwezesha kupata kula nyingi zaidi.Hata laisi wetu atafulahi sana, hasa baada ya kushinda kula kwa kishindo!
kwa uandishi wa hivi inabidi uingie darasani ujifunze kuandika kiswahiliWarimu kutoka Mologolo watafaidi kweri kweri maana hawa Wasauzi wana histolia kubwa na Mologolo! Mapambano ya kureta uhulu nchini kwao yarifanyika kutoka na mafunzo wariopata huko.Wengi wataludi kusoma.
Razima sasa watawakumbuka katika hiri ra Kiswahiri!
Waziri wa Elimu ya msingi nchini Afrika Kusini, Angie Motshekga, ametangaza kwamba, lugha ya Kiswahili imeidhinishwa rasmi kama lugha ya pili itakayofundishwa kwa wanafunzi wa shule za umma na binafsi nchini humo.
Cha kushangaza walimu wengi wa kiswahili watatoka kenya kwenda kufundisha nchini Africa ya kusini, wakati serikali kupitia wizara yake ya mambo ya nje ikiwa kimya na kuzipuuzia fursa kama hizo,
Kwa haraka kama south Africa ina takribani 30,000 kuanzia chekechekea mpaka Chuo kikuu,
Kwa kiwango cha chini watahitajika zaid ya walimu 2000 kufindisha somo ilo,
Tufanye nini hiyo fursa iwe yetu??
Britannica
KwaniniBado mnafikiri Watanzania ndio vinara wa Kiswahili?
Tumekwishapotoka
NdiyoUtasikia tumetoa ajira 60000 SA
Linakuja hilo! Yetu masikio!Utasikia tumetoa ajira 60000 SA