malimi katoro
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 358
- 154
Habari wana Jf,
ni kiswahili cha lafudhi gani ukisikiapo unatamani mzungumzaji aendelee kuzungumza kutokana na raha na burudani unayoipata, binafsi mimi hupendelea sana kiswahili cha lafudhi ya kijaluo.