nami nilimsaidia hivi lakini nikamtahadaharisha kwamba ni direct tranlsation, kama tutapata wajuvi wenye kuelewa kiundani
Kaka,
Nachukua fursa hii kukutahadharisha kuwa neno wajuvi halina maana sawa na neno wajuzi
Wajuvi kwa Kiswahili sanifu lina maana mbaya kama ifuatavyo:
1. Watu wanaojifanya kujua kila kitu [neno muhimu ni "wanaojifanya. Kwa lugha nyengine "much know"]
huenda bado ina muktadha hapo
Kaka,
Nachukua fursa hii kukutahadharisha kuwa neno wajuvi halina maana sawa na neno wajuzi
Wajuvi kwa Kiswahili sanifu lina maana mbaya kama ifuatavyo:
1. Watu wanaojifanya kujua kila kitu [neno muhimu ni "wanaojifanya. Kwa lugha nyengine "much know"]
2. Watu wajeuri, wajuba,
nami nilimsaidia hivi lakini nikamtahadaharisha kwamba ni direct tranlsation, kama tutapata wajuvi wenye kuelewa kiundani
Astaghfillulah! Sikuwa na dhamira ya dhati kuchangia lolote lakini BHULULU ametibua akili yangu. Anasema eti 'tatizo la lugha yetu bado haina misamiati ya kiteknolojia'!!!! Ukweli ni kwamba ni yeye ambaye hana ukwasi wa haja katika msamiati wa Kiswahili. Badala ya kujibidiisha kujielimisha ili apate misamiati ya kutosha, yeye anaishia kulalama ili hatimaye ahalalishe utumwa wa kiutamaduni uliolitafuna taifa hili miaka yote 51 ya uhuru wa bendera. Namshauri asome nyuzi za wachangiaji na atamaizi kwamba 'hard copy' hufasiriwa kama nakala ngumu na 'soft copy' hufasiriwa kama nakala tepe. hataki aache!Mkuu tatizo la lugha yetu bado haina misamiati mingi ya kiteknolojia, wakati mwingine ni kazi sana kupata tafsri ya maneno kwa kiswahili
Astaghfillulah! Sikuwa na dhamira ya dhati kuchangia lolote lakini BHULULU ametibua akili yangu. Anasema eti 'tatizo la lugha yetu bado haina misamiati ya kiteknolojia'!!!! Ukweli ni kwamba ni yeye ambaye hana ukwasi wa haja katika msamiati wa Kiswahili. Badala ya kujibidiisha kujielimisha ili apate misamiati ya kutosha, yeye anaishia kulalama ili hatimaye ahalalishe utumwa wa kiutamaduni uliolitafuna taifa hili miaka yote 51 ya uhuru wa bendera. Namshauri asome nyuzi za wachangiaji na atamaizi kwamba 'hard copy' hufasiriwa kama nakala ngumu na 'soft copy' hufasiriwa kama nakala tepe. hataki aache!
Mkuu kiswahili bado sana katika misamiati ya kiteknolojia. kwa kifupi bado changamoto ni kubwa sana
BHULULU wewe ndiyo bado sana wala siyo lugha ya Kiswahili. Hivi umeangalia vizuri maneno ya Kiingereza kwenye uzi uliouleta ukiponda Kiswahili? Kwa hiyo Kiswahili huwezi, Kiingereza hujui na hata lugha yako mama pia nahisi ni tatizo kubwa!