Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,788
- 218,415
Hivi unalijua Gereza?Wasirudie tena huo ujinga
Naona mazao ya dikiteeta yanakauka kwa speed ya 5G.
Tuombe kwa Mungu amuweke mahali anapo stahili.Dah, Jiwe bwana! Eti kuvunja gereza!
Nchi imepitia hali tata sana miaka mitano iliyopita!
Waliokuwa hawakubaliani na mwazo ya jiwe tumepitia kwenye tanuru la ndimi za moto.Dah, Jiwe bwana! Eti kuvunja gereza!
Nchi imepitia hali tata sana miaka mitano iliyopita!
Imefutwa sababu ya akina Halima wapo upande wa NdugaiNaona mazao ya dikiteeta yanakauka kwa speed ya 5G.
Hongera zake mama yetu kwa angalu kuonyesha kuwa anauchungu wa mzazi.
Masalia ya jiwe mtaisha tu maana hamna pa kujihifadhikiki za chademu
Dah, Jiwe bwana! Eti kuvunja gereza!
Nchi imepitia hali tata sana miaka mitano iliyopita!
Pamoja na hayo huyu mama naona anataka kuanza upya bila kusimama kwenye bustani ya jiwe.Imefutwa sababu ya akina Halima wapo upande wa Ndugai
Ata kuandika ni shida!Maslia ya jiwe mtaisha tu maana hamna pa kujihifadhi
Kuna wakati muwe mnafikiri kabla ya kuandikaWasirudie tena huo ujinga
Mungu atuepushe kabisa na balaa la hivi tena.Alikuwa ni shetani sn huyo mzee
Lkn pia kama mahakama au waendesha mashitaka wangetaka kuwakomalia cdm wangeweza tu.Wale Covid pamoja na mama kutotaka ujinga wa Magu vitakuwa vimesaidia
Kama kuongea kizungu wakati ule wa kuzama kwa MV ukaraAta kuandika ni shida!
Afute na ya akina RugePamoja na hayo huyu mama naona anataka kuanza upya bila kusimama kwenye bustani ya jiwe.