Ukitaka kujua wakenya hamjui kiswahili nenda kenya-talk uone...,hata humuhumu mkijicheki mtaliona hilo wazi....poor Kunyans😀😀😀Naomba uwe unawasikiza kaka zako wanapozungumza utaelewa tunachosema ,hayo maneno ya kwenu hatuyatumii sie,subutu,nazani,embu zarau etc wanayoyatumia ni watanzania wenzako.


Somebody should change this thread to Lodwar vs Mwanza. We've got no time to waste pleaseSiyo city center hapo....wacha kupagawa😁 makazi ya watu tu hayoHii ndio second largest city...wah!!![]()