Kisukari ndo adui namba 1 kwa ndoa

Kisukari ndo adui namba 1 kwa ndoa

Mungu aepushe kabisa hayo maradhi; sukari + shinikizo la damu kwa wanaume ni tatizo namba moja la upungufu wa nguvu za kiume.
 
Mkuu;
Nashindwa kukuamini. Nina rafiki yangu sukari ikishuka saana inakuwa 25 lakini, mara 2 kafumwa na mkewe akilamba wake za watu. Tena jamaa yuko kwenye 57yrs.
Mkuu hiyo 25 ni kwa kipimo gani, mg/dL au mmol/L?
 
Kisukari ni ugonjwa unaotokana na kufeli uzalishwaji wa insulin au kuzalishwa kupindukia insulin... .Kisukari sio ugonjwa wa mchezochezo... Muhimu kuzingatia ..Aina vyakula unavopenda kula . Kunywa maji mengi.. Fanya mazoezi ya mwili... Aerobic exercises... .. . Epuka ulevu kupindukia.. Uvutaji wa sigara ,vyakula vyenye wanga kwa wing , Vyakula vyenye sukari..
 
inaathiri hormones hapa ndo matokeo ya kutofunction vizuri au kutokufunction kwa machine(dick) kupoteza ashki hata kwa wanawake.. ... [HASHTAG]#mapenzi[/HASHTAG] ya kweli hayamtengi kwa sababu mgonjwa ..Au umepTa ulemavu.... [emoji6]
 
Kisukari sio ugonjwa mzuri hasa kwa sisi wanaume,tujaribu kuepuka kwa kuwa makini na lifestyle

1.Tupunguze ulevi wa kupindukia
2.Tule vyakula natural visivyo na mafuta mengi na chumvi iliyozidi kipimo kama chips,kuku wa kisasa,tomato sosi nk
3.Tufanye mazoezi na kupunguza wanga na mafuta mwilini(ie kutembea km 10 kwa wiki)

Nk,,,,,,,
Kabisa Mkuu huu ugonjwa n hatar sana kwa wanaume. Ingawa baadhi wanadharau
 
Kisukari ni ugonjwa unaotokana na kufeli uzalishwaji wa insulin au kuzalishwa kupindukia insulin... .Kisukari sio ugonjwa wa mchezochezo... Muhimu kuzingatia ..Aina vyakula unavopenda kula . Kunywa maji mengi.. Fanya mazoezi ya mwili... Aerobic exercises... .. . Epuka ulevu kupindukia.. Uvutaji wa sigara ,vyakula vyenye wanga kwa wing , Vyakula vyenye sukari..
Kunywa maji mengi sana pia ni hatari kwa figo, kunywa maji ya kutosha.
 
Stress pia inapelekea kisukari?
Basi kumbe kazi ipo maana kwa haya maisha yetu wanaume wawajibikaji walivyo na majukumu hadi kooni!!
Basi inapaswa tuwe faraja yao kwa kiasi kikubwa kuwasaidia kuondokana na stress.

Lakini pia kuhimizana tufanye mazoezi na kuandaa vyakula healthy.
 
Mkuu;
Nashindwa kukuamini. Nina rafiki yangu sukari ikishuka saana inakuwa 25 lakini, mara 2 kafumwa na mkewe akilamba wake za watu. Tena jamaa yuko kwenye 57yrs. Unasema ati ni adui wa ndoa huyu adui ya ndoa yake nnani?? Mkeo ajitahidi kupunguza maneno wakati wa 6x6, aongeze utundu. Lakini ka ni wale wa kulala ka gogo na kukuambia ukimaliza funika hakika hutaweza.
Mechi huhitaji utundu ili lengo lifikiwe. Kumbuka, mliahidiana kuvumiliana kwenye heri na shari pia. Kisukari kingelikuwa kinaambukizwa ka Std wengi weshuawa kwa sababu ya hofu ya kuchapiwa
Hivi huwa mnadhani mnapochepuka basi mko vizuri kitandani?
Hizo ni tamaa tu kama tamaa zingine,hazihusiani kabisa na unachoongea.
 
Hivi huwa mnadhani mnapochepuka basi mko vizuri kitandani?
Hizo ni tamaa tu kama tamaa zingine,hazihusiani kabisa na unachoongea.

Mamaa;
Sina haja ya kusema kuwa ni kiwango gani mtu anachoweza kwa kitanda ila nasema msisingizie kisukari. Ni mwnei sana hutusumbua tukashindwa kwa kitanda. Mfano, Mfukoni huna senti, nakuambia akijigusa na wewe unatamani umpige kipepsi. Una stress ys kutumbuliwa, asijaribu hata kujigusa na weye. Umesikia maneno kumhusu haswa historia yake aliyokuficha eg watoto wengine kabla ya ndoa, ukipanda kwa hamu unatamani umwage ulale tu sio ufurahie tendo. na mengine mengi tu.
 
Utakuwa umenisaidia sana best, nimekuwa mvivu hadi basi, lakini kila nikifikiria kushindwa kunyanyua jeki inabidi tu unipitie nikapunguze mafuta.
Ukiwa na kampan inapunguza uvivu, jiandae kabisa tuanze kazi. Hakuna kurudi nyuma, afya kwanza.
 
Nitakuwa nakupitia tukafanye mazoezi.

Mvalie kinguo kizuri juu uweke kisketi kifuupi ka wale wacheza netiboli wetu. Ukifika mbele karibu na kichaka jifanye umeshikwa na msuli wa paja na unahitaji msaada wake.
 
Mamaa;
Sina haja ya kusema kuwa ni kiwango gani mtu anachoweza kwa kitanda ila nasema msisingizie kisukari. Ni mwnei sana hutusumbua tukashindwa kwa kitanda. Mfano, Mfukoni huna senti, nakuambia akijigusa na wewe unatamani umpige kipepsi. Una stress ys kutumbuliwa, asijaribu hata kujigusa na weye. Umesikia maneno kumhusu haswa historia yake aliyokuficha eg watoto wengine kabla ya ndoa, ukipanda kwa hamu unatamani umwage ulale tu sio ufurahie tendo. na mengine mengi tu.
Hayo mengine ni ya ziada ndugu, ila hili la kisukari ni serious, kwahiyo usilichukulie poa.
 
Back
Top Bottom