ms nnana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 246
- 236
[emoji23] [emoji23] [emoji23] okay mkuuDadaa;
Siambiwi ninae ndani ya nyumba. Nina marafiki wengi tu, ninakuambia live. Hatuuogopi tena huo ugonjwa tena tumeudharau kama serekali ilivyo udharau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] okay mkuuDadaa;
Siambiwi ninae ndani ya nyumba. Nina marafiki wengi tu, ninakuambia live. Hatuuogopi tena huo ugonjwa tena tumeudharau kama serekali ilivyo udharau
tehe tehe tehe.......Ni kweli,ila pia unywaji pombe kupita kiasi na unene kupita kiasi navyo ni majanga kwenye ndoa hasa upande wa perfomance,ila ukiwaona wenyewe wajanja wajanja,njoo kwenye 6 by 6 unakuta zero.