Kiss mpaka amalize form six!!

Huyu m2 ni vip or ndo utoto unamsumbua ni demu wangu but sijawahi mshika hata mkono nikitaka kumkiss ananiambia hadi amalize form six daa au ni PCB inamchanganya embu naombeni msaada kuhusu uyu mtu!

Huyo na awe wa baadae yaani akiba mpaka awe tayari kutumiwa. Si unaamini kuwa yeye ni wa kutumiwa?
Kwa sasa tafuta hao waliokuwa wako tayari ,wazee walisema "Akiba haiozi"
 
Sasa akiba ikioza hapo chuo n siunajua mvumilivu hua ndiz zilizo oza?
 
Huyu m2 ni vip or ndo utoto unamsumbua ni demu wangu but sijawahi mshika hata mkono nikitaka kumkiss ananiambia hadi amalize form six daa au ni PCB inamchanganya embu naombeni msaada kuhusu uyu mtu!

Mwache amalize shule. . . Au nawe mtoto mwenzie? Tutakuripoti kwa mama Salma.
 
She aint that into you and she is seriously scared of falling in love with you once you kiss her!
Yaani kama hata mkono hataki umshike hata mkiwa faragha,HAKUPENDI HUYO!
---Believdat---
 
we vipi? ukipenda boga penda na ua lake kama unataka kum'fix subiri kama utaona vipi chapa mwendo, kuna msichana niliwahi kumtokea alikuwa ni mzuri kwa kweli. akanikubalia nilipomuomba sitara akadai kuwa muda si mrefu atasafiri kwenda mkoani masomoni so akinipa atakuwa ananikumbuka sana, so atashindwa kusoma nilichofanya ni kupiga chini na kuangalia another channel, kwani nilikuja kupata stori zake kuwa alikuwa hajatulia (a.k.a akigawa sukari hovyo) so alifanya hivyo ili nimuone katulia (kuficha ubaya wake). at the same time alikuwa mwepesi sana kujieleza shida zake nami nilikuwa namsaidia,
 
Sizan kama unachosema ni ukwel ni kwamba 2anasumbuliwa na utoto unaompa uoga nitamdaka 2!
 
we vipi? ukipenda boga penda na ua lake kama unataka kum'fix subiri kama utaona vipi chapa mwendo, kuna msichana niliwahi kumtokea alikuwa ni mzuri kwa kweli. akanikubalia nilipomuomba sitara akadai kuwa muda si mrefu atasafiri kwenda mkoani masomoni so akinipa atakuwa ananikumbuka sana, so atashindwa kusoma nilichofanya ni kupiga chini na kuangalia another channel, kwani nilikuja kupata stori zake kuwa alikuwa hajatulia (a.k.a akigawa sukari hovyo) so alifanya hivyo ili nimuone katulia (kuficha ubaya wake). at the same time alikuwa mwepesi sana kujieleza shida zake nami nilikuwa namsaidia,

Daa mbona nikimchek kama ana suldi bado ?? Itakua ni utoto 2 unamsumbua!
 
hahaaaa mwangalie na umchunguze vizuri....maybe she z not interested nawe
 
Nimemchek yuko normal I mean ananipenda sijui nin tatizo sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom