Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,558
Hizi shule zetu za kyumba utacheka ufe, mwalimu kaandika ubaoni "KISS ME" watoto someni kwa nguvu wote "mwaaaaaaaaaaaa,............"
Ushauri wangu wa bure huko bungeni waruhusiwe kuingia na element za pikipiki, na gloves maana ipo cku mtu atang'olewa meno bila ganzi.
Ushauri wangu wa bure huko bungeni waruhusiwe kuingia na element za pikipiki, na gloves maana ipo cku mtu atang'olewa meno bila ganzi.