mbona tuliambiwa serikali haina dini?mbona huyu mtu anendekeza udini sana
Swala ni kwamba WHITE HOUSE imebadilishwa kuwa sehemu ya mapepo?kwa sababu naamini jamaa yuko na ile imani ya kachezewa na sasa anajizindika ndani nyumba takatifu.Jamani watanzania wenzangu tuache chokochoko za kudharauliana au kukejeliana sisi sote ni dugu, tusijengeane chuki, tuvumiliane kila mtu ana imani yake, hakuna anayelazimishwa kufuata imani ya mwenzake, lakini MWISHO wa yote tuna unganishwa na UTANZANIA wetu.
... kwa kuwa actually hao huwa hawatumikii pepo wachafu
Kisomo ndo nn
Swala ni kwamba WHITE HOUSE imebadilishwa kuwa sehemu ya mapepo?kwa sababu naamini jamaa yuko na ile imani ya kachezewa na sasa anajizindika ndani nyumba takatifu.
swissme;
.........huko Kanisani mnaita maombi !
Teh teh teh pole sana dada tunajua kua wewe ni Islamphobic.
serikali haina dini ila watu wake wanadini.Ndo huwa unaona kwaya zinapigwa maofisi ya serkali,huo sio udini kwako
Ukome kuchukia Uislam kama ulivyokoma titi la mamayako.
Naona umeshusha aya ya quran kama ilivyoletwa na Mo
Raha ya kufanya kisomo Ikulu ni kubwa kuliko ya Makka