unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Mwambie bwana watu tumezaliwa ukara nahuwa niko proud mtu akiniuliza kabila langu ntamwambia mm ni mkara wa chibhasiKaka huko ndo kwetu jitahidi uwe makini tu, karibu sana tu napenda wageni mje kwa wingi, ukara, uwende na kwiregi pazuri sana
Ndio hyo ndugukwani kwiregi si ndio ukara au kuna ukara na kwiregi
Kiongozi tutake radhi kutufananisha na hao wengine bwana wakara tuko vizuri sanaHuyo mtalii akifika Ukara, ajaribu kufanya utafiti kuhusu kabila hili na akiweza ayalinganishe maisha yao na Wahadzabe wanaoishi maisha ya Ujima, ya kutafuta asali, wadudu na kuwinda wanyama wadogo wadogo, na pia maisha ya kuhamahama.
Umenikumbusha chankamba nimezaliwa hapo mkuuUsisahau pia kufika Bwilo, Goziba, harwego, rubya ,Selema, masonga na chankamba
Daa mkuu tutake radhinasikia mabint wa kule wana antennae ndefu, hebu toa mrejesho ni kweli
Ulio wasu anye ni wa chibhasiNajivunia kuwa mkara tena wa nyamanga..kijiji cha watu wakarimu wasomi tusiopenda makuu..
Mwambie bwana watu tumezaliwa ukara nahuwa niko proud mtu akiniuliza kabila langu ntamwambia mm ni mkara wa chibhasi
Inawezekana tukawa nduguUsije ukawa binam yangu chibhasi nikwao mama na kwao baba ni nyamanga
chankamba haipo ukara, ipo ukereweUmenikumbusha chankamba nimezaliwa hapo mkuu
yeko shinkent'enu koKiongozi tutake radhi kutufananisha na hao wengine bwana wakara tuko vizuri sana
nimesikia kuna utalii sana huko lakini wenyeji hamtaki kuutangaza,Najivunia kuwa mkara tena wa nyamanga..kijiji cha watu wakarimu wasomi tusiopenda makuu..
Kuna utani ulikuwepo kipindi cha nyuma kwamba Wakara walikuja Dar walipoona basi la kampuni ya "Wakala wa Meli "wakamfuata dereva wakamwambia "Chili anu Mwamba! "wakiwa na maana tuko hapa Mzee. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kabila la wakara waishio ukara ni kabila linalodharauliwa kuliko makabila yote Tanzania
Sidhani kama kuna kiongozi wa nchi hii aliwahi kutoka huko...hata kama ametoka huko hatajitambulisha kama Mkara.
du, basi usanii upo kila konaNimefika kwenye hilo jiwe, ni usanii mtupu, hakuna kitu kinachoitwa miujiza. Jiwe hilo linacheza kwa sababu za kisanyansi na sio miujiza. Kwa ufipa wangu nilitaka niwachallenge kwa sayansi ya ufipa, nikakuta watupu mnoooo!
Position ya hilo jiwe ni sababu kuu ya lenyewe kucheza...
Jiwe lenyewe lazima lisukumwe ndipo licheze!
Sijui kwa nini watu wanaaminishwa tofauti na wanakubali!
Jamaa anaelichezesha huwa hataki msimame upande wake... Na watu kwa vile wameaminishwa ni miujiza, hukubali bila kuhoji.. Bahati mbaya wengine tumetokea kwenye Jamii ya watenda miujiza....kwetu kamati za ufundi ni kama Wacongo na muziki!!du, basi usanii upo kila kona